Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salam wadau...nauza mashine ya kunyonyolea kuku manyoya,nimeitumia kama mara 3 tu..inatumia umeme na inanyonyoa kuku 8-10 kwa sekunde 30.Bei ni laki 5.Karibuni sana.0689900000
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Nauza simu htc A9, imetumika miezi 4 tu. Bei 800,000/- (negotiable) Serious buyer pls PM me!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Kuna rafiki yangu anauza Shamba lake Mlandizi la heka 10. Kutoka lami ya Morogoro Road pale mlandizi mjini ni Kilometa 8 upande wa kushoto kama unatokea Dar es Salaam. Anauza lote kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza Nyumba kwa bei poa kabisa, kuanzia milioni 15, 20, 25, 30, 40, 50......200. Kwa maeneo ya CHAMAZI. Swali lolote unaruhusiwa kuuliza na utajibiwa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cc 990 Km 9956 0713715772 Gari ipo katika hali nzuri kuna uhitaji wa pesa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu! Kuna fenicha zifuatazo zinauzwa 1. Meza za kisasa saizi ya kati mbili (2)@200,000Tshs 2. Viti vya kuzunguka vya plastiki na kitambaa rangi nyeusi viwili (2)@130,000Tshs 3. Viti vya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Noah SR40 ya mwaka 2001, inauzwa bei chee. Gari iko vzr sana sawa na mpya, ina tires mpya, sport reams safi, alarm system, seat covers, heavy music system. Gia fupi, cc 1990, metalic black na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauza german shepherd puppies 5 month old laki 5 tu chanjo zote wameshapata
0 Reactions
7 Replies
984 Views
Nauza mashine aina ya Ricoh Aficio MP2000 Inacopy Inaprint Ina scan Inatuma na kupokea fax A4 A3 Wino bado mpya Developer mpya Nakupa na chupa moja ya wino extra Inageuza karatasi automatic Ina...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni tai nzur kutoka Uturuki na UK ..ziko high quality na material zake n ngumu... Hutajuta kuwa nayo. Tunapokea orders kwa shughuli mbali mbali hata maofisin ,kanisan...nk. Bei n nafuu na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wadau. Natafuta business directory ya mwaka 2016. Kwa aliyenayo anijulishe ataje na bei nipo tayari kuinunua.
1 Reactions
3 Replies
808 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwale wanaohitaji kufanya biashara ya Tigo pesa na M pesa line zipo tuwasiliane kwa no 0754 877933
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipo arusha nahitaji tv chogo au flat Kuanzia nchi 21 Pesa ipo Uwe moshi ama arusha Au kama wafaham wanapouza tv used km za chogo za bei rahisi naomba unijuze
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangazo la Semina Ni siku mbili za udhihirisho wa Nguvu za Mungu ndani Dar es salaam Ni kamati ya "The real son's of God Dar es salaam " wamekuandalia semina ya neno la Mungu itakayoongozwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza dawa ya nguvu za kiume inayotokana na mchanganyiko wa mimea asili kama mlonge na milidino na vyakula vya asili...wale wa mikoan mtatumiwa kwenye mabas..dawa hii inatibu kwa muda wa siku 5...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari ndugu wana Jamii, Nauza viwanja vya makazi maeneo ya Kiluvya Madukani kilometer 2 kutoka morogoro road, vipo pembeni ya viwanja vya NSSF. Bei ni Milioni 5 Inaanzia kwa miguu 20 kwa 20...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
We help in:- Proposal development, Questionnaire designing, Data analysis, Data presentation and Report writing We also help in teaching different database and analysis software such as:- MS...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Logde nzuri na kisasa yenye vyumba 9 selfu contained parking ya magari kubwa,eneo kubwa la bar pamoja na jiko bado mpya kabisa.ipo nyegezi hapa jijini Mwanza mita 100 kutoka Tema Hotel bei milion...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Nauza Tecno C9 LTE Imetumika 1 week! Nauza Kwa Sababu Ya Shida!! Ina Kila Kitu Headset! Charger! Mpaka Box. Ipo Moro Nipigie: 0717421125 ISHAUZWA
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…