Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres
Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa...
Habari wanajamvi nahitaji mkopo niendeleze biashara yangu ya viatu vya kimasai.
maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa mzigo kwa wakati...
Natafuta Ofisi ya kupanga iwe sam nujoma road, ali hassan mwinyi mwisho morocco, cocacola kwanza road nk, ukubwa ni 20-30 sqmts, inaweza kuwa hata room moja kubwa au yenye partition au nyumba...
Nimekua nikinunua vifaranga kwa supplier huyu huyu kila siku ila mpaka kuku wanakuja kuuzwa, jumla ya vifaranga vilivyokufa inafikia 33 hadi 40. naona tatizo lipo kwa huyu supplier wa mda mrefu...
Habari wakuu.
Kwa mahitaji ya software ambayo:
1.Ni rahisi kutumia
2.Ina Report za aina zote za IFRS
3.Haihitaji server(CLOUD)
4.Unaweza tumia aidha kwenye computer, simu, tablet au kote kwa...
Habari wakuu.
Kwa mahitaji ya software ambayo:
1.Ni rahisi kutumia
2.Ina Report za aina zote za IFRS
3.Haihitaji server(CLOUD)
4.Unaweza tumia aidha kwenye computer, simu, tablet au kote kwa...
Howo dump truck (6*4) standard cab.
type: inline, six cylinder, turbocharging and intercooling. WD615 engine with two valve, rear turbocharge.
Transmission: HW series 10 gear, main and auxiliary...
Nina viwanja Kisemvule 15 Km kutoka Mbagala rangi tatu. Nauza ukubwa 100 kwa 50 futi bei 6.5ml, umeme upo maji yapo. Eneo ni tambarare na mchanga haununui.
Kuna kingine vikindu kina matofali...
Gari sawa na mpyaaa imeendeshwa na mwanamama.. sababu ya kuuza ni ili kununua toleo la karibuni zaidi
Land Rover Discovery 4
Year 2013
Fuel diesel
Automatic
28000km
Imelipiwa kila kitu...
Wakuu nimepata Kazi Masaki mwisho, sometime ntakuwa natoka very late. Kwa sasa, nipo Mbagala.
Mwez wa kumi natarajia kuhama huku. Nikipata cha 30-50 sio mbaya. Ila ni lazima kiwe na umeme na...