Mwalimu anahitajika,
Mwenye uwezo wa kufundisha masomo agalau 5 muhimu ya mwanafuzi wa darasa la tano,
ni baada ya mwanfuzi kutoka shuleni, saa za jioni, nyumbani maeneo...
Wana jamii forum wenzangu naomba kujuzwa jinsi ya kupata king'amzi ikiwezekana na dish lake kupata na kuangalia channel za mpira kwa bei nafuu. DSTV wamekua hawashikiki na sisi wapenzi wa soka...
One large bedroom which combines both the living and sleeping areas into a single space; the bathroom is in a separate room and contain the essentials such as a toilet, shower area and a full...
TRACTOR ZINAUZWA
tractor zinauzwa zipo katika hali nzuri karibuni
MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 19.5 tsh
FORD 4000 bei ni milion 17.5 tsh.
zipo Mbweni, Daresalaam
mawasiliano zaidi 0714242879
Tusafiri Pamoja kutembelea hifadhi ya taifa ya #ngorongoro_crater tarehe 27/12/2016 na kurudi tarehe 29/12/2016 kwa gharama ya 190,000 tu. Mwisho wa kufanya booking ni tarehe 20/12/2016. Safari...
Tunapenda kuwatangazia shule, taasisi kwamba tunatoa punguzo la bei kwa vifaa na chemicals za shule katika kipind hiki cha maandaliz ya mitihan.Tunapatika kariakoo mtaa wa muhoro na swahili pia...
Tunapenda kuwatangazia shule, taasisi kwamba tunatoa punguzo la bei kwa vifaa na chemicals za shule katika kipind hiki cha maandaliz ya mitihan.Tunapatika kariakoo mtaa wa muhoro na swahili pia...
viwanja vya ukubwa kuanzia metre 17.5 hadi heka 30 vinauzwa Moshi
klmanjaro
Viwanja hivi unaweza kujenga nyumba kwa ajili ya makazi au kupangisha unaweza kujenga sheli shule , hospital na...
Ipo Makongo juu. In chumba kimoja cha kulala chenye choo na bafu, sebure, sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha wageni na vibaraza mbele na nyuma. Nyumba imezungushiwa uzio. Kodi tshs 500,000...
Wakuu msaada please natafuta chumba cha kupanga maeneo hayo hapo juu msewe au changanyikeni,chumba kiwe kina hali nzuri na maeneo poa pia huduma ya maji na umeme iwe ni uhakika.na kuhusu gharama...
*MADALALI NNA BREVIS NUMBER CHM...YA SILVER...CC2400...KM 150k...VIBALI PAID...BOSS ANA MADENI ANATAKA 7.7 BILA POSHO...KWA PICHA...NA LOCATION NCHEK SHIMONI*[emoji6]