Poleni kwa majukumu wadau.
Naomba kujua kampuni ambayo inatoa usafiri wa kukodi kwa magari ya abiria hasa coaster kwa mkataba kwa hapa Arusha na ofisi zao zilipo.
Natanguliza shukrani.
Habari zenu wakuu?
Natafuta fundi mzuri anayetengeneza viatu vya kiume original vya ngozi.
Kwa mwenye contacts zake tuwasiliane kwa pm tafadhali.
Mimi nipo dar.
Habar. Nyumba inauzwa ipo maeneo ya chuo kikuu mliman. Nyumba ina vyumba vnne kimoja master na chumba cha stoo na pia kuna eneo kubwa limebak kiwanja kina ukubwa wa miguu 75*35. Mawasiliano au...
Cm mpya kwa bei za chini zaidi
Bei ni
Samsung
S2 220,000
S3 320,000
S4 380,000
S5 580,000
S6 980,000
A5 580,000
A7 750,000
Note1 320,000
Note2 380,000
Note3 580,000
Note4 820,000
Htc
One x...
Vipo kilomota chache kabla ya kufika Chanika mjini,ni vizuri kwa makazi na vipo sehemu iliyochangamka na inayojengeka kwa kasi mita chache kutoka barabara kuu ya Gongolamboto_Chanika.
Vina ukubwa...
Wakuu habari, Baada ya kuandika uzi unaohusiana na aina za cctv camera pamoja na kazi zake
Zijue aina za CCTV-Camera na kazi zake
watu wengi walitaka kujua gharama za kuweka hiz camera. Sasa...
Scania 113/380 LHD
Year 1994
Km 820000
Bei Mil 50.000,000 bila ushuru. Ushuru unalipa mwenyewe.
Truck bado hipo nje kama tunakubaliana nakuagizia, tuna ofisi inayotambulika na Serikali...
Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba linapakana na mto miyombo kijiji cha ulaya katikati ya mikumi na kilosa linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
0713902202
Instant Unlock 9AM - 9PM of any Huawei / Alcatel Cell Phone (All Levels)
WE BELIEVE IN EARNING TRUST & WE VALUE YOUR INVEST, TIME & FAITH ON US!! JUST GIVE US ONE TRY TO EARN YOUR FAITH!!! FOR...
Habari za asubuhi wadau?
Ni dawa gani nzuri kwa kuzuia kudondoka kwa maua ya passion na matunda yakiwa bado machanga?
Dawa za fungus (ukungu) na bacteria (wadudu) wanaoshambulia majani.
Nina...