Habar wakuu?
Ninauza na Kusupply spare za generator , Air compressor and Earth moving machine.
Upande wa generator nna spare za
1. Perkins engine
2. Yanmar engjne
3. Deutz Enigine
4. Mitsubish...
Habari za wakti huu;
Je Biashara yako inahitaji TOVUTI?
Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu?
Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD?
Je Biashara...
Habari wote,
Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems).
Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na...
Nilinunua 150,000
Kwa sasa sina kazi nayo zipo 2 unaweza kuongea hadi km 15 hadi 20km
Kwa sasa sina kazi nayo nauza bei ya hasara 100,000 zipo banana
0743257669
Kwa msiojua unaweza kuongea na mtu...
Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu?
Usiogope, kwa maana...
Hii ya kwenu wenye taasisi, kampuni changa na ndogo, NGOs, Churches, private schools and colleges, ..
Natoa huduma katika eneo la "Strategy consulting" ili kubaini maeneo muhimu ya kufanyia kazi...
Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na...
Ney Ubuyu wa Kishua
Unaanzaje kupitwa na kiburudisho hichi kizuri
Ubuyu mzuri wenye ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili
Jumla na Rejareja unapata
Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 Ndoo kubwa...
Kampuni: Honor LED
Watts 3 - 10,000 PC 10
Watts 5 - 12,000 PC 10
Watts 7 - 13,000 PC 10
Watts 9 - 14,000 PC 10
Free Delivery piga : 0614502969
Dar na mikoani
Habari za muda huu JF wadau wote, kama kichwa cha uzi kilivyo elekeza, nahitaji hiyo bidhaa tajwa, kwa mtu anaejua chimbo kwa kkoo au ni kiwandani anaweza kunichek katika namba hii 0653914963...
KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK
Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti
Haina...
Hp ya kazi kazi haswaaa…👇
Hp ProBook 650 G2✅
Core i5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Processor 2.4GHz✅
Kioo inch 15’✅
Numerical keyboard✅
Generation 6✅
Type C port✅
All important ports✅
Battery 2 to 3...
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni...
• Direction:
njia panda ya Makabe, karibu na Goba Road
• Features:
self contained ya vyumba 4 kimojawapo master
• Facilities:
maji, umeme, haina uzio wa ukuta
• Ideal:
makazi
• Survey:
eneo...
Wakuu
Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza.
Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.