Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote duniani na mbinguni.
Kama kichwa cha Uzi kinavyo jieleza, nahitaji gari dogo lililotumika Kwa bajeti isiyozido ml. 6.6
Aina ya gari...
Subwoofer mpya aina ya ALITOP inauzwa na imetumika wiki mbili tu tangu itoke dukani
Haina tatizo la aina yoyote ila nimepata dharula ndio maana nimeiweka sokoni
Subwoofer hii ni size ya kati...
π’ TANGAZO LA KIBIASHARA π’
Dar ITcare - Wataalam wa TEHAMA kwa Mahitaji Yako!
Je, unahitaji suluhisho bora la kiteknolojia kwa biashara au taasisi yako? Dar ITcare tunatoa huduma za kitaalamu na...
π Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring π
HomeJewelry π Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring π
The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines...
PATA FIFA 14 PATCH 23 π₯ π₯ π₯
PES 17 PATCH 23π₯π₯π₯
KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5.
Pia
TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC...
Habari wanajamvi,
Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza...
Eneo: Wazo Hill, Tegeta
Ukubwa: 1052sqm
Hati: Miliki ya Wizara
Nyumba: Mbili (moja ina vyumba viwili na nyingine ina vyumba vitatu)
Bei: 210,000,000/-
Ikiwa una nia ya kuinunua, unaweza...
Nahitaji Flash USDT iwe kwenye Moja ya wallet zifuatwzo
We can take trc20 or erc20 in
Binance wallet
Exodus wallet
1inch wallet
Na iwe na sifa zifuatazo
Flash USDT Features
Transferab...
Offer ya kufungia mwaka kwa mahitaji yote ya promotional materials:-
πPrinted Tshirt @15,000 (10+ PCs)
πPrinted cap @12,000 (10+ PCs)
Tunawatakia Watanzania wote heri ya siku ya Uhuru...
Kwa mtu anayehitaji chuma na sebule kinapagishwa tandika mashine ya maji,choo cha ndani,maji,umeme unapatikana.bei 150000 kuanzia miezi 3 na kuendelea.kuna geti pia ni karibu na barabara.
Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa...
Pikipiki inauzwa..
Model: Loncin 110cc
Location: Kigamboni
Condition: Used na inafanyiwa maintenance kwa wakati
Card yake utapatiwa
Price: 800k
NB: Ukihitaji itabidi ukaichek Kigamboni maana...
Top On Sale Product Recommendations!
New Summer Girls Sandals Breathable Children Shoe Outdoor Non Slip Open Toe Beach Sandals
Price Now: TZS 37842.17 (Original price: TZS 105113.66, 64% off)...
Geophysical Survey | Upimaji wa Uwepo wa Maji Ardhini | [emoji97][emoji97][emoji97]
USHAURI
-Fanya survey kabla ya kununua shamba kujua ikiwa eneo unalonunua lina maji kuepuka kununua sehemu...
TAWA WATER PROFFESIONAL:
Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa
1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara...