Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba...
Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni
1.Ulinzi
2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar
3. kazi zote za nguvu hata viwandani
4. kazi za hotelini...
Apartment mpya inauzwa Kariakoo
Vyumba vitatu ya kulala
Kimoja master
Ina Furniture
Ipo ghorofa ya Nane
Jengo lina Lifti
Jengo ni jipya
Bei TSh. 280m
Call/WhatsApp +255758 844 717
Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest
Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender
👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
KM RESEARCH SOLUTION
Research Support Services
Your Partner in Academic and Professional Success
Are you in need of expert assistance with academic and professional writing? Look no further! KM...
MWALIMU NA MIFUMO
WAKONGWE WA MIFUMO MASHULENI
Tangazo Hili Unakutana NALO mara moja tuu Kwa Kwa Kila robo ya Mwaka.
WIKI YA KUANDAA MATOKEO NDIO HII TERMINAL MAY-JUNE 2024
Mifumo ya matokeo...
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox...
IST Kali inauzwa namba E
Price 14.4M
Location DSM
Call 0658124288
TOYOTA IST(EAT)
Year 2004
Engine Code 2NZ
ENGINE capacity 1290cc
Milleage. 59080km
From Japan
Bei 14.4 Million
Location DSM
Baada ya kujidunduliza na kujinyima nyima nikapata kamtaji ka kupata nusu tani ya mchele
Nauza mchele kwa bei ya 1600 ,1800,2400 na 2800
Flem yangu ipo chamazi jirani na uwanja wa azam...
Ndugu wananchi na wana dar es salaam kwa ujumla. Hii ni mpya kwenu na msije Sema sikuwaambia Premium security kampuni dada ya Bullet force security imeanza kazi rasmi nchini Tanzania kwa kasi na...
Nauza kiwanja kibaha kwa mfipa eneo lina ukubwa wa mita 20kwa 20 ,umbali toka stand ya daladala ni km 2 tu.Maji na umeme vimefika kwenye kiwanja
Contact ;0784325299
0792325299
BEI ;4 MILLIONS