Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa.
Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama...
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.
2. Kukanyaga mafuta...
TANGAZO TANGAZO
HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali
Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa.
Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa.
Vigezo...
Kwema Wadau
Inatafutwa Ya Kununua
Land Lover Defender 110
Engine 200 tdi or 300 tdi (Diesel)
Year 2000 - 2002
Double Cab Would Be More Likely But Not Limited
Mnunuzi yupo Dar es Salaam...
Habari,
Nyabiri tiba asilia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa zinazotokana na mimie. dawa zetu ni za asili hazichanganywi na kemikali yoyote na ni dawa za uhakika.
Tunacho...
Habari zenu,
Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA.
Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo.
Ukubwa ni SQM 541...
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇
_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani...
BITCLUB ADVANTAGE (faida)
Tusambaze link tuanze somo
Bitclub advantage ni muhim sana ni faida
TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE
IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE
HII ni kampuni...
Wakuu za asubuh
Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class...
Wakuu,
Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo:
-Mpya
-Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan
-Wino wake usiwe bei sana
-Maintenance yake iwe cheap
Wataalamu...
Karibu kwa mbegu za maboga zilizokaangwa na zilizosagwa ambazo unaweza kuweka kwenye mboga au hata kwenye uji.
Zina faida nyingi sana kwa sababu ya madini yaliyomo hasa madini ya Zinc...
waheshimiwa habari
tunauza desktop za aina zote bei chee
hp corei5 ina ram 4gb hdd 1000gb(1tb) monitor nch 17 accer nk(full) desktop lak 350000..ukitaka tuongeze ukubwa ni ela yako tu
hp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.