Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba hii ni mojawapo ya nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mwaka 1968. Ni nyumba ya mjengo wa kizamani. Ina nyumba vitano vya kulala na korido katikati. Uani kuna choo 2...
2 Reactions
0 Replies
511 Views
Nyumba 2 zinauzwa kwa pamoja ndani ya eneo moja shilingi milion 70. Maongezi yapo. Zipo Kimara Mavurunza. Gari inafika mpaka mlangoni. Umeme upo. Nyumba ya kwanza inavyumba 12, vitatu ni master...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba Ipo Kiluvya Madukani, Nyumba Ipo umbali wa Kilometer Moja Kutoka Morogoro Road. Ukubwa Wa Eneo ni mita 15 Upana na Urefu mita 22.60. Nyumba Ina Vyumba Vitatu Vyote ni Masterbedrooms...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari nyumba hii inauzwa ipo barabarani kabisa Goba million 58 tu karibu ujionee tupigie 0763542515 Ina vyumba vitatu na sebule umeme na maji vipo pia ina by quarter kwa nje kama una vijana...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Nyumba ya kisasa ina vyumba vinne master jiko, siting room, dining umeme na maji ipo bararani njia ya kwenda kiwanda cha plastiki Vikindu madafu ina eneo kubwa limebaki unaweza kupiga simu namba...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
-Nyumba ipo Kinyerezi mwisho 1.5 km kutoka barabara ya lami -Ina vyumba vitano,viwili master,sebule,dinning,public toilet,jiko na stoo -Ukubwa wa kiwanja ni sqm 700 ( 35 kwa 20) -Pamepimwa...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Habari za mwaka mpya wakuu Nyumba inauzwa pugu kajiungeni km 1 kutoka barabarani. Ina nyumba vi3 vikubwa. bei ni milion 45 maongezi yapo Ni square mita 1500 yaan mita 30 kwa 50 No 0753567696 NB...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa Mahali: Chanika ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni Huduma...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
-Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima -Nyumba ina vyumba 3...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Ipo mkuranga mjini km moja toka barabara kuu ina vyumba vitatu kimoja master bedroom ina umeme maji mawasiliano 0655204110 na 0699492380.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master dining room public toilet jiko stoo na sitting room Kwa tshg million 28,000,000/= Ukubwa wa eneo sqm 400 Ina hati ya ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam kwenu wakuu. Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida -2 Sitting room Dinning room Kitchen na store...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
NYUMBA INAUZWA MILLION TISINI (90) NYUMBA IPO MBAGALA_CHAMANZI. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000 Nyumba ina vyumba vinne chumba kimoja master ina sittingroom diningroom jiko store...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba mpya inauzwa ipo mjini Chanika Mwisho. Kwa tshg million 21,000,000/= Ukubwa wa eneo sqm 400 Nipigie:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45 Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mhitaji wa nyumba hii njoo chapu ufunge mwaka vizuri:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45. Kwa tshg million 30,000,000/= Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master Sebule kubwa Dinning Store na jiko Ipo tabata liwiti Bei mil 70 mazungumzo yapo Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda...
5 Reactions
74 Replies
11K Views
Nyumba na eneo lake hipo Moshi bonite, eneo lina 20 kwa 20, Bei million 15, Piga 0683007848. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
-ina vyumba 3 kimoja master ,sebule,dinning hall,jiko,stoo na public toilet -Kiwanja kina ukubwa wa 30 kwa 25 (750sqm) -pamepimwa lakini hapana hati - Umeme na maji vyote vipo. -Ukuta...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom