Unahitaji kuongeza kipato chako chaguo sahihi ni kununua mashine za ice cream na chockstick
Mashine za ice cream million mbili na laki sita inazalisha lita kumi kwa dakika 20
Mashine za...
Tunauza spare za pikipiki aina ya boxer original na HERO kwa jumla na rejareja Bei zetu ni nafuu Sana na tunatuma mikoani pia. Kwa mawasiliano tupigie 0782197274
Jipatie router kwa matumizi ya ofsin nyumbani na hata kwenye biashara yako, ambayo utapatiwa bure na utalipia laki moja kila mwezi kwa maps 20,na kuendelea hii kwa walioko dsm tu kwa mawasiliano...
Wauzaji WA kettle na majiko ya gesi ya vioo kwa jumla, kettle bei 102000 ctn, majiko bei 45000 kuanzia pc 4 kwa pc moja jiko bei 65000 location Livingstone na amani karikoo call 0673534254
PORTABLE GRASS CUTTER MACHINE/BRUSH CUTTER MACHINE.
■Hii ni mashine ya kisasa ya kukatia ama kufyekea majani au nyasi.
■ Inauwezo wa kukata nyasi fupi na ndefu pia hata matawi ya miti
■Mashine...
Haya wale professional wa kupiga picha mzigo huu......jumla ni 1,500,000/= pamoja na usafiri juu yangu kukutumia popote
But ukilipia 1,490,000/= utalipia delivery cost
Camera Nikon D7100...
STAND ZA LAPTOP.
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, matumizi ya kompyuta ndogo (laptop) yamekuwa muhimu sana katika shughuli za kazi, burudani, na mawasiliano.
Hivyo kuna umuhimu...
Nauza Gpu yangu ambayo nilinunua mwenyewe mpya ya gigabyte gt 1030, inacheza games nyingi za zamani 1080p low setting na games mpya kwa 720P.
-Vram 2GB Gddr5
-ulaji umeme maximum watts 30...
KARIBU SANA MPENDWA MTEJA WANGU
Leo nimewaletea uzi huu kwaajili ya mashuka pekee, bei na size ni kama ifuatavyo;-
[emoji837]Size 6"6 sh.22,000 (Shuka 2 na Pillowcases 2)
[emoji837]Size 6"7...
Habari wapendwa,
vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu.
1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.