Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Katika Darasa letu, mwendelezo wa mafunzo yetu kuhusu ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kibiashara. Katika somo letu lililopita, tulizungumzia kuwa ng’ombe bora wa maziwa anaweza kutoa 🥛 lita 15 hadi...
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers 4.material (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric motors. 5. Uwezo 300kg kwa saa.bei 1,400,00 Ipo mtoni kijichi...
0 Reactions
3 Replies
572 Views
Habarini za muda huu wana jukwaa?, kiwanja kisicho na kipengele chochote kinauzwa kwa bei ya jioni kabisa, kipo karibu na shule ya saint home ya Nkuhungu, kwa mwenye uhitaji apige namba ifuatayo...
0 Reactions
5 Replies
454 Views
Shamba Lina ukubwa wa heka 60 lipo msata umbali kilometers 3 kutoka balabala ya lami msata bagamoyo Lina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,000 wa Kila heka Kwa mawasiliano 0659891515
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari mabibi na mabwana? Naomba mwenye kujua yanapopatikana mashamba ya bei nafuu, mashamba yanayofaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji anifahamishe. Ningependa kufahamu bei kwa ekari na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Tumia unit zako mwenyewe bila kushea na wengine. Je unaishi kwenye nyumba ya kupanga na kuna changamoto ya matumizi Umeme? Au wewe ni mmiliki wa Nyumba za kupangisha na kila siku watu...
1 Reactions
8 Replies
493 Views
Nauza mashine ya kutengenezea picha mbao kwa bei kitonga kabisa, mashine bado ni mpya kabisa nicheki uchukue mzigo Bei ni sh 250000 Dar es salam Simu 0617009453
2 Reactions
1 Replies
378 Views
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii...
5 Reactions
21 Replies
760 Views
TK701 SMARTWATCH Mikanda 7 Ina Bluetooth Speaker Ina waya WA MIC WA kurekodia vdeo 💰75,000/= 💰 (OFFER PRICE) CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location KKOO Masasi na likoma Street Free...
0 Reactions
3 Replies
382 Views
OFFER 🔥OFFER POCHI POCHI POCHI POCHI Jumla:8,000kuanzia pc10 Rejareja:9,000 Brand: new Delivery: 🚚 Ipo Mikoani tunatuma✅ Delivery juu ya mteja Tunapatikana Dar es salaam
2 Reactions
3 Replies
523 Views
4BEDROOMS PLOT SIZE 15X20M CALL US TO GET YOUR DESIGN +255624004650
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
2 Reactions
9 Replies
638 Views
5bedrooms mansion call us +255624004650
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Wakuu habari, nina bajeti ya milioni 7 nahitaji kiwanja maeneo ya Kibaha mail moja Kiwe at list KM3 mpaka tano kutoka stendi, naamini humu kuna wenyeji na wenye viwanja maeneo naweza pata...
2 Reactions
6 Replies
707 Views
Nauza mashamba na viwanja kwala Kwala ipo kijiji cha kwala wilaya ya Kibaha Mkoa wa pwani.Kuna bandari ya inchi kavu,karakana ya mradi wa SGR na kongani ya viwanda 200.Kwala ipo km 15 kutoka...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja. i. Sehemu: Makuburi, Mabibo. Dar es Salaan. ii. Ukubwa: 1780 sqm iii. Vina hati. iv. Bei 120m Ni hivi vyenye vidoti vya kijani. Mawasiliano: 0743-398408
1 Reactions
4 Replies
610 Views
Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu...
2 Reactions
5 Replies
694 Views
Hello! Eid Mubarak kwenu nyote. Naomba kujua ni maeneo gani kariakoo ambako kunapatikana machimbo ya SIMU za jumla hasa SIMU ndogo maarufu kama viswaswadu. Nimezurula sana Leo na bila mafanikio...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji 👉 Mashamba tambalale Kwa ufupi. Eneo la ekari 3.5 beach area Lipo mkoa wa pwani Kisiju Karibia na bandari ya Kisiju Kituo ni Sotele Km 87 kutoka City Center DSM Bei ni...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom