Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

nahitaji sulpher powder ya njano
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Wadau nimejipanga kufanya manunuzi ya vifaa vifuatavyo ila nahitaji kujua bei ya kila kifaa kimoja nione budget yangu kama itaniruhusu msaada please kwa tulio pembezoni 1. Solar panel...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Imetumika muda mfupi na haina tatizo lolote. Bei 250,000/=TZS Nipo Dar es salaam mbezi juu njia ya kuelekea Goba kituo kwa ndambi 0744218415
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza unga walishe unafaa kwa uji na ugali kila kifurushi kina vifurushi 3 ndani haijachanganywa na karanga ila karanga imefungwa pekee yake, ni unga mzuri na mtamu sana , nauza jumla na reja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nshapata. Asanten.
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Jaman vyuma vimekaza nauza shamba langu mkuranga ekari 13(kumi na tatu) kwa bei ya shilingi 65mil. Ila maongezi yapo kidogo ila kwa yule anayeweza kunipa mkopo wa 45mil nimlipe kidogo...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
NEEMA YA AJABU IMESHUSHWA! Miliki kiwanja kilichopimwa kwa Sh. 1,000 tu, kwa siku! · Kina hati ya Serikali, utalipa kupitia simu yako · Umeme na maji tayari vimefika kwenye mradi...
3 Reactions
50 Replies
10K Views
Wakuu, kichwa cha habari kinahusika.. Nahitaji kagari kadogo kadogo cha kimjini mjini, kama IST, Vitz, Allex, Raum au Sienta... Budget inaweza kupanda kidogo kama gari itakua imesimama... Kama...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Zambarau nzuri sana. Vinz vitamins Na madini. Piga 0767/0717454455 Uletewe popote DSM
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza home theater Aina ya Panasonic watt 1000 kwa bei ya 350,000 Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
1 Reactions
2 Replies
967 Views
Brand NEW LAPTOPS FROM *JIMZ Technologies Company LTD* Lenovo ideapad 110; 2Gb RAM, intel dualcore (1.6 x2 ghz), 500gb hdd, 15.6" screen size: BEI=555,000 Acer aspire ES 14; 14" scrn size...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
DELL LATITUDE E4310 INTEL(R) CORE(TM)i5 M520 @2.40GHz RAM: 8GB HDD:500GB TATIZO:BETRI LAKE LIMEHARIBIKA BEI: 260,000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salute, Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. Nipo DSM, mwenye hizo lines tufanye biashara. Nawasilisha.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ninauza eneo langu lipo Msanga chamwino Ikulu Dodoma kwa mawasiliano 0712877148
0 Reactions
7 Replies
900 Views
Wadau natafuta kinanda cha kawaida cha muziki. Bajeti yangu ni shilingi 400,000. Naomba mwenye uwezo wa kusaidia tuwasiliane. Lengo ni kujifunza tu kuplay muziki na hivyo sihitaji kinanda chenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza kitanda cha chuma 4*6 kwa bei ya 250,000 Kina uwezo wa kukunjwa na kukunjika kwa jinsi utakavo Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji camera canon 550d isiyo na tatizo loloteee njoo tuyajengee...
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Naomba kuelekeza wakuu kama kichwa cha habari kilivyojieleza Asanteni wenu Mtiifu Jitu
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nahitaji camera aina ya canon 6d mark ii mwenye nayo au anayejua ntaipata wapi anisaidie tafadhali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…