Wana jf kwa ujumla husiken na mada tajwa hapo juu..natoa mafunzo ya kutengeneza incubator ya mafuta ya taa ..mafunzo online ada sh 5000 tu..nipigie au tuma meseji 0744903557.tanga .kwa anaye...
Mafundi wa kutengeneza perving blocks na kuzipanga majumbani, karibu tukuhudumie tuko tabata kinyerezi, tunapatikana kwa 0653985824 au 0745688572 karibuni
Je, wewe ni mpenzi wa sandwich na huna muda wa kutembelea mgahawa wa subway kwasababu upo busy ofisini? Au upo nyumbani unajisikia uvivu kupika na hujisikii kutoka na ungependa upate sandwich...
Hello ladies and Gentlemen..
Bila shaka mmeamka salana!
Natafuta solar panel used na vifaa vyake ninunue kwa bei ya maelewano. Kuanzia watss 10, 15, hadi 20.
Naomba kama una size mojawapo hapo juu...
Habari Wana JF
Point of Sales hii ni Software ambayo inafanya record za mauzo yako ya kila siku,ina fanya record ya bidhaa zilizo stock, inatunza kumbukumbu za bidhaa zinazotoka na kuingia...
Kwa mahitaji ya chumba,vyumba vya kupangisha kuanzia 35000, 40000, 50000,60000 kwa mwezi maeneo ya ubungo, riverside, kibangu,external, makuburi, garage na mabibo,
Ni rahisi sana piga no: 0656...
Natafuta shamba ukubwa kama heka 1, maeneo ya Chanika au popote karibu na DSM. Muuzaji awe na documents muhimu zinazoonesha umiliki wake.
Lisiwe zaidi ya km 1 kutoka main road (barabara ya kutokea...
Wadau kwa anaefahamu sehemu lilipo shamba linalofaa kulima nyanya lenye ukubwa wa ekari moja hadi tano daressalaam au Morogoro tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu bandugu nahitaji mashamba ya kulima yaliyo karibu na sio mbaali sana na makazi ya watu kwaajiri ya usimamizi wa karibu, itapendeza kama yatapatikania maeneo ya Morogoro & Tanga...
Wakuu habari natafuta mtu anayemweza kuniuzia kiti cha saloon cha kiume used, kiti kiwe cha kawaida sio vile vya barbar shop, maana offer yangu ni ndogo, na saloon yenyewe ni ya uswazi. offer...
Habari.
Namiliki Workshop ya Welding, Soon ntaongeza Section ya Woodwork.
Nahitaji Fundi wakufanya nae Kazi kwa ajili yakusimamia Workshop yakutengeneza Furniture za Chuma na Mbao za Kisasa...
Kwa kariakoo ni maeneo gani naweza kupata Yale magodoro madogo ya wanafunzi? Nataka mawili alafu bajeti yangu haizidi elfu arobaini (40,000) kwa yote mawili. Msaada tafadhali nataka kuwanunulia...
Tunafanya kazi zifuatazo....Audit (Ukaguzi), accounting(uhasibu/mahesabu), tax advice (kodi), management, information technology and human resource consulting, Financial advisory services...
Naweka uzi huu kwa dhumuni la kutaka kujua ghalama ya Toolbox complete ya vifaa vya plumbing au hata ukiweza kuniunganisha na wauzaji wa vitu hivo.
mjumuisho uwe ni wa vifaa kama vile
Pipe Wrench...
Nategemea kusafiri kwenda Morogoro kesho kwa shughuli ya kifamilia. Nitapenda kujua wapi naweza kupata mbuzi mzima Meeee?? Kama unao unauza njoo PM tufanye biashara