Honestgirl
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 210
- 127
Naomba kuuliza n wapi hapa dar es salaam panauzwa magodoro kwa bei nafuu kidogo ikiwezekana nimsaidie hata bei elekezi
Sawa asanteManzese darajani
kama.ni mapya angalia hawa jamaa bei zao nilienda nunua dukani kwao ni katika duka la kiwandaNaomba kuuliza n wapi hapa dar es salaam panauzwa magodoro kwa bei nafuu kidogo ikiwezekana nimsaidie hata bei elekezi
Asantekama.ni mapya angalia hawa jamaa bei zao nilienda nunua dukani kwao ni katika duka la kiwandaView attachment 907102