Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba...
1 Reactions
3 Replies
393 Views
DELTA RESIDENCY Luxurious lifestyles in exclusive apartments. Enjoy elevated living at Delta Residency located at Upanga, a 12 story masterpiece featuring well designed 3 and 4 bedrooms...
1 Reactions
3 Replies
324 Views
Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
HABARI NJEMA KUTOKA VODACOM. VIFAA VYA INTERNET (ROUTER BURE) Ofisi za kijiji, kata, kitongoji, ofisi za wilayani Masijala office, procurement office,HR OFFICE Ofisi za afisa kilimo, lishe...
1 Reactions
7 Replies
788 Views
Shamba linakodishwa kibiti ni hekali 7 linafaa Kwa mazao ya ufuta; mbaazi; nk Kwa kila hekali 60;000/ Kwa anayehitaji kukodi karibu. Call 0658124288
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road (Kibada rd), 2km inside from Mwasonga road. *It's near to box factory and Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Wadau habarini. Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa. Nililipenda jina hilo la OTTO kwa...
8 Reactions
205 Replies
20K Views
SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL Mwaka 2014 Engine 1990cc Rangi Blue Metallic Mileage 92,000km Bei 36m 📌Push to Start 📌Winker Mirrors 📌Eyesight Tech ☎+255626682228
1 Reactions
2 Replies
443 Views
Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
1 Reactions
3 Replies
660 Views
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako ~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki ~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu shilingi 22,500 unatembea kilomita 200...
18 Reactions
69 Replies
19K Views
Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu . Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b Kupitia...
1 Reactions
4 Replies
366 Views
Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara...
1 Reactions
10 Replies
614 Views
Epson hata nimeitumia kidogo sana kwa matumizi ya ndani ina wino ndani haujatumika hata asilimia 90 na bado chupa nyeusi nyingine imejaa. Bei 350000 tunazungumza.
0 Reactions
1 Replies
218 Views
> Mtaa wa Ndanda > Ghorofa ya 4 (hakuna lift) > Vyumba 3 (master 1); sebule; jiko; public wc, balcony > Kodi (fixed) 700,000/- x 6 > Kupelekwa kuona 20,000/- > Malipo ya kamisheni ya dalali...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Tandamti Ghorofa ya kwanza (hakuna lift) Vyumba 2 (master 1); sebule; jiko; balcony Kodi 400,000/- x 6 Kupelekwa kuona 20,000/- Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa ...
0 Reactions
6 Replies
616 Views
Jamani naomba anaefahamu wapi wanatengeneza vifungashio kama hivi anielekeze,namaanisha kiwandani kwa anaefahamu please! Maana kununua kwa rejareja kariakoo inaumiza kwa kweli,naomba kuwasilisha
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wapendwa wa jamii forums, nina hitaji chupa za plastic kwa ajili ya juice za size kama ya chupa za azam energy, MO chungwa nk. Kama kuna mtu anaweza nishauri sehemu ya kuzipata au anauza...
0 Reactions
76 Replies
34K Views
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa...
1 Reactions
0 Replies
330 Views
Body la Tata linauzwa Ni namba D Exchange na Toyota Coaster au Ros a vitu vyote vipo kasoro injini,giabox na propela ndio havipo. Bei Mil 15 Lipo kibaha mkoa wa Pwani mawasiliano 0759399805
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…