Pata dagaa wazuri na wasafi kutoka mwanza, dagaa wetu ni wale wasio na michanga kabisa tunaanika kwenye miamba ya mawe. Kwa bei ya elfu 5000 kwa sado moja kwa wasiokaangwa na kwa bei ya elfu 17000...
Lipo manispaa ya kinondoni kata tandale mtaa wa kwa Tumbo ni nyumba ya tatu kutoka barabara kuu ya kwenda sinza na magomeni halina matatizo yoyote na lina leseni ya makazi nambari KND 25308 Bei ni...
Kwa mahitaji ya picha za ukutani kwa kupamba majumbani na ofisini kama African painting, landscape painting, imagination painting pamoja na fine arts zinapatikana kwa bei nafuu kabisa kwa mahitaji...
Hello parents and learners
We are well trained teachers...we are here by to advertise to you that we are capable of teaching on home visit basis.
1.ENGLISH MEDIUM CLASS 1 TO 7: Mathematics and...
Mimi niko Tanga Barbara ya 4 karibu na mamlaka ya maji (Tanga Uwasa) au Pentagon Palace, Nina Aina zote za mbao, bei zetu no nafuu Sana
Mawasiliano 0714780054/ 0758796337
Karibuni wote.
Sent...
Jipatie misumari imara ya bati kutoka Yalin global limited kwa Bei nzuri,Tunapatikana Dar es salaam eneo la tabata matumbi.For more information please call and WhatsApp through 0672087564.Bei ni...
habari wana jf karibuni, NIMEWALETEA MAJIKO YA AINA MBILI YA KWANZA BILA OVEN NA LA PILI NA OVEN, JIKO AMBOLO HALI TUMII OVEN NI LA PLATE4, PLATE MOJA YA UMEME NA TATU ZA GAS BEI YAKE NI LAKI...
Wadau kwa anaefahamu hizi mashine za kutengeneza barafu (ice block) naweza kuzipata wapi na kwa bei gani? Zine na uwezo wa kutoa block ya kilo 10...msaada plzz
Chini ya uongoz wa Celebrities toka Bongo Movie tunatarajia kufanya Tamasha kubwa la kimataifa la Filamu jijini Dar es Salaam.
Tarehe 19.04.2019,
Sehemu: Mlimani City Hall,
Muda: Kuanzia saa 12...