Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina vifaa vya kisasa vya kupima uwepo wa madini hasa ya dhahabu na vito (Metal detectors). Vifaa vyangu vinaweza kupima wastani wa mita tano (05) tu kwenda chini ya ardhi. (LENGO NI KUWASAIDIA...
0 Reactions
8 Replies
45K Views
salama wakuu! kwa wale mnajishughulisha na utafutaji wa madini kama dhahabu na germstones hii inawafaa sana. Nauza gold,silver na germstones detectors 3. kwa muhitaji ani pm fasta kwa maelezo zaidi
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari za kutwa wana JF? Nahitaji kununua biashara mojawapo kati ya hizo. Hiyo biashara inatakiwa iwa dar tu bei ni maelewano kutokana na duka lenyewe. Kwa mawasiliano karibu PM Asanteni sana
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya sasa, mzigo mpya umeingia. Hereni, mikufu, cheni, pete Original kutoka nchini Ufaransa ( Paris ). Havipauki wala hazichubuki. Bei: Reja reja Elfu 10. Bei ya jumla Elfu 8 Pia zipo za...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Muuzaji au mjuaji zinakoparikana tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau natoa offer ya mafunzo ya kuflash simu aina zote. Gharama ni elfu kumi tu(10,000) Muda ni jioni kuanzia saa 12 Nahitaji watu 10 tuuu Vigezo 1-Uwe tayari 2-Uwe naa kompyuta 3-Uwe na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bado unasumbuka na tatizo la ajira?? Je umeajiriwa na mshahara wako hautoshelezi mahitaji yako ya mwezi?? Je una ndoto za kuinuka kiuchumi toka hapo ulipo?? Je wewe ni mwanafunzi uko chuon au...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nauza Juice dispenser yenye Mitungi miwili (18L kila moja), ipo katika Ubora wake. Bei ni TSh. 650,000. Nipo Mabibo,Dsm. Contact: 0653118453. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama unayo Njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
940 Views
Shule shule shule..... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ina uwezo mkubwa sana Bei ni 300,000 tu Nicheki kwenye namba 0712222575 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BRAND NEW; FM RADIO STATION BLUETOOTH USB MMC KARAOKE CLASSIC SOUND TSH:170000 WARRANT 1YR :TUNAPATIKANA KARIAKOO MSIMBAZI OPPOSITE NA SIMBA SPORT'S :CONTACT-0714417739/0763251378 TUNAFANYA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wakuu, nauza Iphone7, gb 128 ipo ktk hali nzuri kabisa, bei Laki nane na Hamsini.....!! 850,000. Angalia picha. Ukihitaji nicheki kwa namba 0625 286711 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naona kanunua mpya. hivi basi za aina hiyo zinauzwa bei gani
2 Reactions
75 Replies
14K Views
Bei 430000
0 Reactions
5 Replies
773 Views
Habari Njema kwako. Je unahitaji mwalimu nyumbani au ofisini kwako kwa muda wako? Tunakufuata ulipo kulingana na Muda wako. Masomo ya Lugha kama English Course and Swahili Course. Pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
823 Views
Six Pack care Ni kiboko ya vitambi minyama uzembe pia inatengeneza six pack kwa muda mfupi tu na inatengeneza shape kwa wanawake na kuleta matokeo ndani ya muda mfupi Jipatie kwa bei ya punguzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii nimeipata ktk TV ya smart ya LG sijui kwenye tv nyingine nikaona bora niwajulishe nanyi kuhusu hili, Kama wewe unatumia tv ya lg hili litakua linakuhusu tv yko inauwezo wa kukupa burudani kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…