Sawa mkuu nimekupata.Kam litakuwa LA vipodoz angalia location laIma kuwe na population ya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushauri mkuu.Kwa hali ya uchumi ilivyo nunua LA matumizi ya nyumbani ambalo pia unaweza uza na baadhi ya vipodozi.