-samsung inchi 49 inauzwa
-imetumika miezi 6 haina tatizo lolote
-ina warranty ya miaka miwili
-nakupa stand ya ukutani pamoja na TV guard bureee
-bei laki nane ( 800,000)
-ipo kimara mwisho
-...
UNIVERSITY OFFERS[emoji92]
Karibu uunganishwe na huduma ya Tigo&vodacom university offers, huduma itakayokuwezesha kujiunga na vifurushi vya chuo ukiwa mahali popote pale. Kuunganishwa ni...
Mwenye smart phone ya kuuza alete namba yake tuwasiliane. Pia unaeza weka picha hapa hapa.
Isiwe tecno.
Iwe katika hali nzuri sana.
Bei isizidi tsh. 200,000.
Karibu.
Tunatengeneza web applications (websites na web systems) na android applications kwa bei nafuu kabisa,kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane nasi kwa namba zifuatazo 0769729927 au 0652130344
Bodi ya taifa ya shindano la kimataifa la Miss Utalii Tanzania,inahitaji mawakala wa kuanda na kusimamia fainali za Miss Utalii Tanzania kanda za:
Kusini (Ruvuma,Lindi,Mtwara)
Nyanda za Juu...
Kipo eneo linaloitwa kwa mwatano
Eneo ni 40 m × 35m
Lina boma la vyumba vinne imefikia lenta
Eneo linafaa kwa makazi
Nauli ni sh 400 tu kwenda mjini
Bei ni 13 milioni (maongezi yapo)
Wasap...
Habari JF.
Naanzisha uzi huu maalum kwa ajili ya taarifa, elimu, na upatikanaji wa vifungashio vya bidhaa zinazotokana na ufugaji. Bidhaa hizi ni kama vile mayai ya kuku, bata, kanga, nk. Pia...
Piga 0762612213 mbezi beach dsm
computer desktop ram 4gb HDD 500 na processor i3 320,000 tu CPU Ndogo
Tv flat Samsung nchi 50 million moja na Laki moja tu
Friji zipo tatu moja ya kioo Laki...
Viwanja vipo km 2 kutoka njia ya lami ya Massana-Mbezi
Kimoja kina sq mita 980 kimenyooka mil 22(negotiable)
Chengine ni sq mita 240 mil 4(negotiable)
Kwa mahitaji ya nyumba na vyumba maeneo ya...
Wakuu kuna vyumba viwili vinapangishwa. Nyumba ipo maeneo ya maili mbili Dodoma.
Gharama ni 30,000/= kwa chumba kimoja na unaweza kulipia kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya dalali, unanipa hela...
Habari wadau:
Ofa inaendelea
Jipatie Domain pamoja na hostin kwa mwaka kwa gharama ya TZS 45,000 tu kwa mwaka.Hii ni ofa maalum kwa wanaoanza.Domain.ni za .com.na .co.tz.
Gharama za designing...