Happy birthday Aleppo

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,792
6,768
Habari za siku nyingine JF

Leo tarehe 11/12 Miaka 26 iliyopita nilizaliwa katika hospitali ya KCMC. Ilikuwa ni siku ya jumatano majira ya usiku saa tatu ndipo nilipoingia kwenye dunia hii.

Namshukuru Mungu kuweza kuiona siku hii adhimu kwangu na najiombea maisha marefu na yenye baraka na ya kumpendeza Muumba wangu.

Naomba kutumia muda huu kusherekea siku yangu pamoja na nyie wanajf wenzangu katika wasaa huu.

Karibuni wanafamilia kunitakia heri na baraka ya siku yangu ya leo. Sina nilichowaandalia ila nasema asanteni sana

Happy birthday baby Aleppo
 
Happy birthday kaka, Mungu akupe kila lenye kheri, uishi miaka mingi yenye furaha na amani tele!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom