Habari ndugu zangu wa JF
Leo nimeamua kujiunga rasmi Jamii Forums baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu. Naamini hapa nipo sehemu sahihi kwasababu JF imekuwa kisima cha maarifa kwa muda mrefu...
Habari zenu wana Jamii forum, kwaheshima na tahadhima, naomba kujitambulisha kwenu kwakifupi tu, Mimi ni member Mpya ambaye hata hivyo nilikuwa naperuzi Jf pasipo kujisajili rasmi,
Natumai...
Habari wadau wa jamii forum , nafrahi kuungana pamoj nanyi.
Nafanya blogging, hope ntakutana na wapenzi wa hii fun kwa ajili ya kushauriana na kupeana support.
Link ya blog yangu ni happyrozo.com