ni muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiunga JF lakini hatimaye nimefanikiwa kujiunga nitashirikiana na nyinyi wadau kuchangia yale yanayojiri kwa mustakabali wa maendeleo yetu vijana na taifa kwa...
Wapendwa wasomaji,
naitwa Lennard, natoka Ujerumani na nilifanya kazi mwaka jana kwa Tanzania Renewable Energy Association. Bado nasoma gazeti ya Tanzania na minapenda kuhifadhi mawasiliano na...
Nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kwangu na kwa chama changu CDM ya kuwa nitatoa mawazo yenye mustakbali mwema,nakushiriki kikamilifu katika uchangiaji wa mada na hoja ee mungu nisaidie
Hellow people.Its a great feeling to be here sorounded by different type of people.am a very charming simple beautifull lady and good hearted .lukin foward to learn and share new intelligence...