nipe fursa waungwana, nisikie na kuhoji
tujadili vilivyonona, ya mijini na vijiji
kutafaari kwa kina, hoja tunazozihitaji
kwa busara na hekima, naomba fursa jamvini
Shalom,na isiwe mwisho katika harakat hiz za kutafuta haki kwa masikini wote,kufuta dhuluma,unyanyasaji,uonevu,ukandamizaji,ubaguzi,ufisadi,rushwa,kutowajibika na usaliti kwa wananchi masikini na...