Nimetamani kwa muda mrefu sana kuwa nanyi katika kisima hiki cha mjadala kwani nimekuwa nikifaidika sana kwa kusoma mawazo yenu.Nami sasa nimeona bora nijiunge nanyi ili niweze kutoa mchango wangu.
CCM bwana jana kulikuwa kufanyike uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kijiji cha Bulfani wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera,cha kushangaza saa chache kabla ya kufanyika uchaguzi huo,barua ya kusimamisha...
jamani my beloved tanzanians we have to struggle as much as we can in order to be free from being humiliated,segregated,denied, fooled,exploited as well as lied by our political leaders. this can...
kwa kweli this is home for great thinkers, na ukikaa na wajinga nawe utakuwa mjinga ukikaa na wenye busara nawe utakuwa mmoja wao so nimejiunga na wenye busara