Nahitaji ushirikiano wenu kama mnavotoa kwa wengine nafurah kua mwana familia wa jamii forum kwan kila kitu nacho taka kukifahamu naimani ntakipata hapa kwa GREAT THINKES
Nb:ni mzaliwa wa...
Hellow Marafiki naitwa Daniel John, ninafuraha kujiunga hapa, naandika hadithi mbali mbali nimeanza na kuposti hadithi ya .. Kwanini Mimi nategemea sapoti kubwa toka kwenu. asanteni kwa ushirikiano.
Wakubwa kwa wadogo nimekuwa mfatiriaji wa mijadala ya humu ndan toka nijiunge bila kuposte chochote basi tukiwa tunaendelea na AFCON 2019 huku kesho tukijua tunafungwa naomba nipige hodi kwa...
Habari wakuu..
Lagrangian ndugu yenu... naliisikia ikitamba sana....ikitisha kama nyambizi kwa kuchana mawimbi kwa kasi, upepo wake ukanivutia..yalinibidi nijisogeze jirani nijione utamu wake...
Ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF wala sina wasi wasi yoyote najua wanajukwaa ni watu wastaarabu na wakarimu hivyo mtanionyesha ushirikiano wa hali na mali.
Sina mengi ya kusema ila naamini...