Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
habari yenu wanajamii,mimi mgeni nikaribisheni.
0 Reactions
5 Replies
891 Views
Hi Wanajamvi, mimi ni mwanajamvi mpya, ninawasalimu na ninapiga hodi jamvini, HODI WANAJAMVI!!!!!!! ASANTENI SANA, NINAJISIKIA HURU KUWA MWANA JAMVI
0 Reactions
8 Replies
960 Views
Hamjambo! Naitwa chelule, mkenya toka ponde la ufa, hope i'm welcome!
0 Reactions
4 Replies
948 Views
habari zenu wakuu leo nimejoin rasmi baada ya kuwa mgeni siku nyingi naomba ukaribisho.
0 Reactions
13 Replies
943 Views
Hello!!
0 Reactions
6 Replies
949 Views
Hodi hodi wana jf,naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
684 Views
Hello wana jamii forum! Natumaini this is the place i was looking for.ASANTE
0 Reactions
6 Replies
849 Views
Hamjambo wanajamii wenzangu ! Pamoja tuijenge jamii yetu kwa vipawa alivyo tujalia mola.naomba kuwasilisha.
0 Reactions
5 Replies
784 Views
Real this is the place where the wisemen met to exchange views. I will be happy if you say wellcome to me.
0 Reactions
5 Replies
690 Views
Hatari!Angalia watoto wa Vigogo waliopita UVCCM ngazi ya taifa DICKSON MEMBE,FRED LOWASA,RIDHIWAN KIKWETE,ASHURU HUSEN MWINYI,BENY SAMWEL SITA,DEBORA MWANDOSYA,IREN PINDA,FELSTER NDUGAI,CHRISTOFER...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa jina naitwa Nico from Tanga nimependa kujumuika nany ktk jamiiforum tutashirikiana pamoja naomba ushrikiano wenu.
0 Reactions
5 Replies
770 Views
Karibuni ndugu wana Jf mnitafune. Lakini mimi ni mgumu,msije ng'oka meno! Hodi humu ndani.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
This is Mtukuru from Mwankoko Singida. stay blessed and tuned!!!!!!!!!!!!!:eyebrows:
0 Reactions
7 Replies
925 Views
hamjambo wapendwa wooote kwenye jamviii
0 Reactions
2 Replies
838 Views
nafurahi kujumuika nanyi...wapendwa.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
how are you Jamii
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya jamani nimeshaingia mnipokee
0 Reactions
9 Replies
879 Views
Ndani ya JF nawasalimu waduu wote hodi JF. Nashukusa sn kuwa pamoja nanyi ASANTE
0 Reactions
6 Replies
980 Views
Shikamooni Wakuu, wadogo zangu habari zenu? Nimekuwa nikisikia habari za JamiiForums kwa muda mrefu sasa hususani toka kwa marafiki zangu, so nimekata shauri leo hii kujiunga nanyi hapa jamvini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
..........
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom