Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
daaah ni furaah yangu kua mmoja wa watu katika jamiiforums ambaye nitaweza kushare post mbalimbali na wezangu pia na kubishana kwa hoja Katika Post Za member wengine
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habar wana jf, mi ni wanachama mpya jamani naomba ushilikiano wenu jaman. Asanten
0 Reactions
4 Replies
841 Views
yap ni furaha ilioje kijumuika JF ,pamoja sana kjana kutoka swax salamu kwa wote
0 Reactions
5 Replies
893 Views
me mgeni jamani japokuwa sina kamba mguuni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hi JF members, mi ni mgeni humu
0 Reactions
7 Replies
781 Views
Habari zenu bandugu,jama me mgeni humu jamvini hivyo naomba mnipokee.kama kwa mikono,miguu au vichwa haijalishi but mnipokee salama!ni hayo tu kwa sasa.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello Everyone, I am a new member of Jamii forums, I must say I am impressed with the forums,discussions and shared values among all of the members. I look forward to share Ideas and learn alot...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Dear Friend,New here. Also would like to become a verified member. I beg you cooperation. I much beg a cooperation of people who have a knowledge in computing aspect.Thanks
0 Reactions
6 Replies
954 Views
  • Closed
Wanajamvu, sauti ya Kigamboni nipo, nikaribisheni!
0 Reactions
7 Replies
929 Views
Hellow members! mie mgeni nawaomba mnipokee tafadhali:A S kiss:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hello waungwana mimi mgeni naombeni karibu yenu
0 Reactions
5 Replies
821 Views
waungwana naomba mnipokee jf.
0 Reactions
8 Replies
959 Views
Hello Jf members!
0 Reactions
7 Replies
872 Views
Hodi humu, natumaini mu wazima. mi mgeni wenu naomba mwongozo wa hapa ndani. nakutakieni siku njema Le' baby.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Oya mashkaj mi najitambulisha kwenu mgeni naitwa kingkao niko dar.
0 Reactions
8 Replies
813 Views
Naamini wote ni wazima,mimi nigeni jamani.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mpya humu, nawasalimu wote. Naomba tuwe pamoja
0 Reactions
4 Replies
798 Views
Hi! every one! am so glad to join you please help me in!!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hellow, i knw nothng abt jf. Can u help me its me Irene
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Hi I'm amon A supplier of healthy supplements. health care skin care personal care home care. anyone who has healthy problems don't hesitate to talk to me. 0713507487 0767507487 0782898210
0 Reactions
6 Replies
799 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…