Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Natambua uwepo wenu!
1 Reactions
4 Replies
908 Views
nimekuwa naingia kama mgeni,sasa naingia mazima,nipokeeni jamani.
0 Reactions
3 Replies
838 Views
hellow Friends,naomben kampan yenu,nimekua na2mia mtandao huu kwa 2years as guest,sasa nimeingia ndan rasm,je nijickie kama nipo nyumban au.....?
0 Reactions
16 Replies
986 Views
Ktk baraza kahawa nipo namie wa pwani.yalimwa bara yanywewa pwani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aim ni kuzid kulisongesha...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
new member hapa naamin tutakuw pamoj ktk kujeng , kurekebish pia kupean mawaz mbalimbal ya kujenga
0 Reactions
9 Replies
1K Views
t'xup wana J.F
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Hatimaye nimo ndan,,,habar wana JF!
0 Reactions
7 Replies
890 Views
Habar zenu wanajamii
0 Reactions
3 Replies
666 Views
Habari kwa wana JamiiForums wote,mimi ni mama wa makamo naombeni mnikaribishe katika jukwaa hili adhimu lenye kuelimisha kwa kila namna, kufurahisha,kuhuzunisha na hata kukuweka huru kifikra...
1 Reactions
6 Replies
869 Views
Helooo! nimo ndani ya JF
0 Reactions
4 Replies
850 Views
Mi mpya naomba mnipokee na upya wangu.ahsanteni wakongwe.
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Mwanajamii mpya...... salam....nami nimo
0 Reactions
4 Replies
757 Views
habari zenu wana jamii forums mi ni member mpya na ninafuraha kubwa kuwa miongon wanachama katika site hi ,muwe na mchana mwema na jumapili njemai
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Mm ni mgeni na ninahitaji kupokelewa.....
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni ktk jamiiforum naomba nafasi moyoni mwako nitue ili tupate kuijenga na kuchagia mawazo mbalimbali hasa upande wa kijamii,kisiasa,na kiuchumi namini tu pamoja ktk uwazi na ukweli
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Awali skutambua kama kuna v2 sensitive navmic ktk maisha had nlpokutana na JF nataraj kupata meng zaid kutoka kwenu wakuu!!! Hooodiiii
0 Reactions
13 Replies
998 Views
plz nipokeen
0 Reactions
6 Replies
918 Views
hellow Jamii forums community! am new member and i decided to join this community to i) learn ii) share our knowledges in all aspects!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello good people. Baada ya kuwa guest kwa siku nyingi nimeamua kuingia mazima sasa. Mnikaribishe....!
1 Reactions
7 Replies
834 Views
Back
Top Bottom