Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodii mpaka ndani. JamiiForums ilikua inanisaidiaga sana nikitaka kujua vitu vya mjini mijini nadhani mnaelewa. Yani hii website ni kama google flani ivi lakini ya Kiswahili🦦 Mimi ni mwanafunzi...
2 Reactions
6 Replies
726 Views
Hello everyone...Am nashly Ni mgeni humu kwenye jamii forum
0 Reactions
4 Replies
725 Views
Ma fans wote yo welcome at the place where we dare talk openly. JF is the stress remover place[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
2 Reactions
4 Replies
726 Views
Mimi ni mgeni wakuu ushirikiano wenu ni jambo la msingi , naomba kuwasilisha
0 Reactions
4 Replies
977 Views
Hellow 🖐️ wakuu, mimi ni mgeni humu Jf. Naombeni mnikaribishe tuendelee kupata madini, sisi sote humu ndani. Maana naona kuna madini mujarabu sana.
1 Reactions
7 Replies
800 Views
Wakuu Habari, naitwa HERUFI KUBWA, nawapenda, naomba mnikaribishe.
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Heloow wakuu ndugu zangu.. ni mda mref sana... Najua weng mnajiuliza mwaamba mbona haonekan.. ila ndo hvyo dunia ina mengi hii jaman . Furukuta furukuta waapi.. Enewei.. watesi wangu najua...
1 Reactions
10 Replies
752 Views
Hello brothers and sisters, I'm John. New here I'm I welcome ?
1 Reactions
3 Replies
437 Views
wenyeji wangu habari zenu?
1 Reactions
9 Replies
578 Views
Ni takribani miaka mingi, tangu nijulishwe habari za "Jamii Forum " na rafiki yangu nikiwa chuo japo muda wote huo, sikuwahi kuwa member wala kuwa na App ya jamvi hili. Japo nilikuwa mshiriki bubu...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Nimekuwa JF miaka kibao sana...ila sjawai jiunga nikaweka na comment. Nilikuwa napitia tu....yaani kula na macho. Ule uzi wa yoga ndo ukanimaliza....nikaona wivu wana wanavyopiga macomment...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa. Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee ndugu yenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu Mimi ni mwenyeji JF najitambulisha tu kwaajili ya kufahamu wageni. JF ina majibu ya kila swali katika uhalisia wa maisha ya kitanzania/kiafrika. JAMII FORUM>GOOGLE
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello, mimi ni mgeni, naomba ushirikiano wenu wadau, asanteni.
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Naitwa Kaka Ibrah, naombeni ushirikiano wa karibu kutoka kwenu, shukrani.
1 Reactions
7 Replies
777 Views
Naitwa sir bangaler, ni mgeni humu ndani naombeni miongozo ya kutumia katika kuchangia na kujenga hoja, asante. Sent from my SM-J106F using JamiiForums mobile app
2 Reactions
5 Replies
940 Views
Baada ya msomaji mgeni tangu 2014 kwa kuburudika na nyuzi za kula tunda kimasihara,mazingira hatarishi kufanya mapenzi na kadhalika. Hatimaye Leo nimeamua kuwa member niliye hai kabisa naomba...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Helo diaz... Nafurahi kuungana na nyie
1 Reactions
11 Replies
854 Views
hodi wadau wa J-forums mi mgeni naomba ushirikiano wenu
1 Reactions
6 Replies
917 Views
Hello fans
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Back
Top Bottom