mpaka xx ni ajaib waliotumiwa form za NIT ni wa first batch, na online hazipo na cha kushangaza co majina yooote waliopo kwa first batch !! wana jf msaaada wenu
Daah! Namshukuru sana Mh. The invisible kwa kuniruhusu niwasalimie wana jf na kuji introduce. Infact kwa leo sina mengi zaidi ya kuwatakia kila la heri, kwanza mie mwenyewe nimechoka saana kwa...
salamu wote, najitambulisha kwenu naomba mnipokee kwa lolote mnijuze na kuniongoza mie bado kinda katika safu hii. Naomba ushirikiano wenu katika mada mbalimbali nitakazopost.