Nimatumaini yangu kuwa wana jf mko poa. Nimevutiwa sana na mijadala ya humu Jf hivyo na mimi nimeamua kujiunga ili niweze kujadiliana na wadau wengine.
Hope wote wazima,mi mgen ndo nimefanya registration leo but huwa nafuatilia mengi sana hapa na mengn yamenisaidia!nafurah jf members ni watu wanaojitambua na kuona mbele na hl huwa naliona...