Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi ni mwanachama mpya - napenda kuwasalimia Wana Jamii Forums wote wakati huu wa Mwaka Mpya. Binafsi huwa nafuatilia masuala ya kijamii, kisiasa na kimaendelo hapa kwetu Tanzania na ulimwenguni...
0 Reactions
8 Replies
991 Views
Am new member am from dsm I think I will get more corporations wit u guys n ladies kazi
0 Reactions
7 Replies
846 Views
Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba? Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nasikia kuna waraka mpya wa upandaji wa madaraja ya cheo na mshahara kuwa ni miaka minne badala ya miaka mitatu?. naombeni ufafanuzi wanajamii wenzangu?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kupokelewa wana jf, ukarimu wenu ndio faraja kwangu.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi naitwa Mkumbizi,napiga hodiiiiiiiiii kwenye jamii hii munikaribishe,naomba munipe nafasi mimi ni mgeni,mubarikiwe.
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Jamani kichwa cha uzi hapo juu chahusika naomba kukaribishwa hapa jamiiforum nimetokea fb.
0 Reactions
6 Replies
927 Views
Hodi nikaribisheni kwenye jamii hii mimi ni mgeni.
0 Reactions
4 Replies
728 Views
Nimefurahi sana kujiunga nanyi katika darasa hili huru,natarajia kujifunza mengikutoka kwenu. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
908 Views
Wakuu habari zenu. Mimi ni mgeni JF naomba mnipokee.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
hi
am new hapa so naitaji uwepo we mwenyeji
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani za dhati, na naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Mimi Juki Mambo vipi?
0 Reactions
5 Replies
807 Views
Me ndo kwanza nimejiunga sijaijua vizuri hi jamii tupeane kampani basi
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nimetokea fb nipookeeni wajemeni
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaaama humu! Hodiii
0 Reactions
7 Replies
911 Views
mambo zenu jamn me mgeni.
0 Reactions
8 Replies
895 Views
hatya sasa
2 Reactions
9 Replies
996 Views
please jf may i come in!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jumamosi ya leo wanajamiiforum. Kama jina langu linavyo someka nimeamua kujiunga jf ili mimi na wenyeji wangu nyie tuonyeshe harakati zetu hasa ktk kuijenga Tanzania. nikaribisheni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…