daaah unajua mwanadam asie juta kwa mapungufu au mabaya aliyo tenda ujue bado haja pevuka akili pia kupitwa na mazuri pia ni hasara kubwa JF patamu xana nili ingia kwa bahati mbaya lakini kwa sasa...
Hod umu ndan.... kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa umu ndan udambwiudambwi na udagadagaa wa umu jamvin umenivuti....naomba kukalibishwa tafadhali....
Wakuu nimeingia rasmi humu ndani kama mwana JF,japo ni zaidi ya miaka sita nimekuwa nikiperuzi habari mbalimbali.Ninategemea,ushirikiano, ushauri na ukosoaji wenu pasipo chuki wala ugomvi.Ndimi...