Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naombeni ukaribisho
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi jamani, mimi ndugu yenu, mdogo wenu na kijana mwenzenu. Naomba mnipokee.:pray:
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndo naingia hivyo jamani kukaribishwa muhimu ila nikikaribishwa msinichoke...habar zenu kwanza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi humu ndani me mgeni bandugu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba mnipokee.mm.ni mwanachama mpya
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naitwa mzuri baba yangu tabia!! Ila sema nini nauza chainsaw yangu aina ya husqavarna 272 kwa bei ya kawaida inayowezwa na mtanzania yeyote ..ni-pm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hodihodi wanajf
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Naombeni kujiunga kwa hoja,mawazo na changamoto za hapa na pale katika jukwaa hili. Shukrani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana forums...mefurahi kujiunga nanyi..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi am a new member to Jf,n i wsh to get sisters,brothers n parents i can lean on when i need advices...Am i welcomed?
0 Reactions
4 Replies
827 Views
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NYARAKA) – NAFASI 50 hapo juu ni title ya kazi lakini sijaelewa hiki ni cheo gani ( msaidizi wa kumbukumbu), alafu mbna kazi zenyewe hazioneshi ni office gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mie mgeni humu naomba mnipokeeeeee
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kukaribishwa niweze kushiriki nanyi ktk mijadala mbalimbali. Nimefuatilia kwa makini na hatimaye nimeona vema nijiunge. Nataraji kujifunza kwenu, na pengine nanyi huenda mkajifunza toka kwangu!
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wakuu waJf,niko happy kuwa mgeni wenu,Naombeni mnipokee..Pamojaaaaaaa!
0 Reactions
4 Replies
761 Views
Hodi,.hodi
0 Reactions
3 Replies
751 Views
hello everyone!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mmu
Huko nawagongea hodi!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba nibishe hodi rasmi maana si busara kuingia ndani bila kubisha hodi angali kuna wenyeji! Hi wakongwe wote! Salute!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenyeji mpooo? Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi hodi naingia,kwa mbwembwe nanderemo kwenu mlotangulia,katika jukwaa lavifijo nanderemoo Sikuja kuchungulia,bali kujakumuika na wananderemo Hebu sogeeni karibu ili nione wenu ukarimu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom