Baada ya kuhangaika jinsi ya kuingia sasa nimeweza:cheer2:
Habarini za Asubuhi,Kamwene,Bonjour,Mjewale ko Wanyabo na Wasebo,Good Morning,.......siwezi kumaliza zote ila kwa kifupi leo hii ni mgeni...
Jamani msinishangae sikujua kwamba kunasehemu ya kupiga hodi mimi niliingia tu bila kukaribishwa ndo maana mimi nimekosa wenyeji wakinielekeza namna ya kutumia hii forums.Basi nimeona vema...
Habari wanajukwaa.
Nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana.
Niwataje...
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.