Hoooooodi!mnikaribishe mie mgeni jamani.
Afu uzuri wa ugeni ni kuwa unapewa vitu vizuri vizuri, chakula kizuri sehemu ya kulala nzuri na maongezi mazuri mazuri.
Hapo juu ni jina langu halisi,
Wapendawa wenzangu, mimi ni mgeni katika page hii, ila napenda kuwa pamoja nanyi kawakuwa nimependezwa na habari zinazopatika kwenye mtandao huu, pamoja na lunga...
Hello!
Napenda kukaribishwa kuwa nanyi humu katika kuchangia masuala tofauti tofauti yahusuyo jamii yetu na ya Dunia yote. Nabisha hodi, mnikaribishe tafadhali.
Nawasilisha!
Natumaini
wote ni wazima wa afya. Ndg zangu, wakubwa wangu bila kuwasahau wadogo zangu, mimi ni mgeni hapa JF, nawaombeni mnipokee kwa mikono miwili...ahsanteni!