Ni kijana wenu ambae baada ya kuisoma, Kuifatilia na kuielewa JF hatimae naomba ruhusa yenu wakuu kunikaribisha na kua mmoja wenu.
NB: Jina langu limetokana na kumkubali na kumwelewa sana msanii...
Wanajamvi nawapenda nyote kwa kipnd kirefu nmekuwa nikiwafuatilia nimejifunza mengi sanaaaaa nmeona si vibaya nikiwa mwana JF... Sema nn hivi huku ni mwiko kutaja Jina lako halisi???
nimekuwa nikifuatilia maongezi hadi nimeona kuna kitu najiidhurumu. Nimeamua na mimi kuja humu.
naomba ukaribisho.
Nimejikuta nimeanza na wanandugu wa MMU maana siasa ninaweza kutolewa speed...
Wengi wetu wamezoea mwenyeji ndo anawakaribisha wageni... Me naomba ukaribisho wa kuingia ndani tu na kupewa ushirikiano wa hali na mali ila kwa mambo fulani ya outings karibuni...