Nahitaji sana mafuta ya nazi (Coconut oil) sio yale ya matumizi ya nje ya mwili kama vile kupaka bali yale ya matumizi ya ndani ya mwili kama vile kupikia ama kunywa.
Wapi yanapatikana jamani?
Habar wana jamii me ni member mpya wa jamii forum ndo kwanza naanza kutumia huu ukurasa ningeomba mnipokee wanajamii pia nitajifunza mengi kupitia kwenu ivo yan