Niwashukuru wanakijiji hiki kwa sifa mlizojizolea nje ya mipaka,basi niombe kujumuika na nyinyi nakuja na style ya singeli "HAINAGA USHEMEJI SISI TUNAKULAGA LEO ZAMU YANANI LEO ZAMU YA...
Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki, amani kwa wote
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote...
Heloo, nafurahi Leo kushiriki japo salamu na wadau humu JamiiForums. Hii ni mara yangu ya kwanza kutia mguu humu ndani. Na nimelazimika kuingia humu baada ya kushuhudia uhuru na uwazi uliomo humu...
Habari Zenu Wakuu Nimekuwa Nikifuatilia Jf Kwa Kipindi Nikiwa Nje Lakini Sasa Imenivutia Nimeamua Kujiunga Nanyi, Naimani Mtanipokea Kwa Ushirikiano Kama Mwanajamii Mwenzenu! Shukran,
Aysher