Hello, mimi ni KE, sio mgeni humu ila nilikuwa naingia kama guest leo nimeona na mimi nifungue account.
Mimi ni mdau katika masula ya Elimu na Siasa. I hope we will cooperate. [emoji5][emoji5]
Habari zenu wakuu
Nipokeeni mshiriki mpya kabisa
Ila Jf irekebishe utaratibu, inachukua muda sana hadi account mpya kusajiriwa na kuruhusiwa kuanza kuchangia mada mbalimbali