Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kila mtu mtaani now anaimba NDI NDI NDI wimbo mzuri haswaa na mashabiki wamempokea Anakonda vizuri with her new hit. Mbali na kuupenda wimbo we also love her new double undercut hair style...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ni wapi utakua kesho kuanza wikend yako kusheherekea uhuru wa nchi yako je hujui wapi pa kuwa kesho??niulize ni katika jengo la LAPF ambapo utabadiri taswira ya utaftaji wako wa pesa jiunge na...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Hapa kuna cluches zinazopenda sana kwenye Oscars! Picha ni nyingi, hebu kuwa na patienti.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Usipende kutumia make up zitakazo kualibu urembo wako badaye na acha ubaili kwa kununua make up fake kwa urembo wako utaumia Na usipende kubandika kope bali tafuta mascara zitakazo kuza kope zako...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KARIBU ORIFLAME KWA BIDHAA BORA KABISA ZA VIPODOZ KWA WANAUME NA WANAWAKE [emoji117]KUNA SCRUB NA TONER,kwa ajili ya kuondoa chunusi na sumu za cream zenye kemikali zilizoharibu na kuunguza ngozi...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Orliflame ni kampun ya kisweden iliazishwa mwaka 1967, iko zaid ya nchi 60 dunian, na uzoefu wa miaka 50. Inajihusisha na bidhaa za asilia kuazia kichwan hadi miguuni, kwa wanawake, wanaume na...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Unapoingia dukani , kabla hujafungua mkoba, wallet au kunyofoa hela mfukoni kununua jeans, ni vitu gani huwa unavizingatia sana kabla hujasema "yeah, hii jeans kweli kali muhudumu nipe hii"? Mimi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wana JF, Napenda kuuliza na kupata ushauri wenu kuhusu kuanzisha duka la jumla la bidhaa za vipodozi na urembo (cosmetics/beauty products), na pia nywele kuwauzia wafanya biashara wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana Jf naomba nizungumze jambo laweza kuwa dogo au kubwa au likakela samahann sanaa...,nngeomba tulijadili pamoja.... Naomba nianze kwa kusema hivi usaf n muhimu s wa kuvaa tu kuwa mtanashati au...
3 Reactions
Replies
Views
Well, we already gave you 25 Ways to Be More Handsome, but we also know you want to dress your best, right? I mean, who doesn't—that's why your reading Esquire. Dressing your best boosts your...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Salute kwa wadau, Ninaomba tushirikishane mafuta ya nywele kwa nywele za aina mbalimbali hapa,mafuta ya dreadlocks,nywele ndefu,wale wa kuset nk.Kwa sisi ambao tunapenda kunyoa nywele fupi,maarufu...
0 Reactions
Replies
Views
A pocket square ni among the trends zinazobamba now days, men look even more dapper waki add a pocket square kwa their shirts. Click hapa kuona how MC Luvanda styles up with a pocket square...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Maasai
0 Reactions
0 Replies
574 Views
  • Redirect
Wakuu, salaam. Hivi ni kweli wanawake wakimaintain figure, kuna baadhi ya viungo vya mwili huwa vinagoma kupungua ukubwa na matokea yake huongezeka zaidi ya mara mbili?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
BAADA YA KUTUMIA VIPODOZI (LOTION, CREAM, MAFUTA NK) PUMZISHA NGOZI YAKO Unashauriwa kuosha ngozi yako na kuondoa vipodozi vyako vyote (lotion, mafuta, cream nk) na kuiacha ngozi yako ikiwa free...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari. Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa yeyote anayefahamu juu ya hizi bidhaa nilikuwa naitaji kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kunigharimu kwa kiwango cha kati kufanikisha hii biadhara pia ni wapi haswa naweza kupata hizi bizaa...
0 Reactions
Replies
Views
Habari ndugu zangu Kwa wale waliokosa kuangalia shindano la kumpata mrembo jana kupitia channel zetu . Tafadhali pitieni hapo chini muone jinsi mambo yalivyokuwa mpaka tukampata mrembo wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom