Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Salaam, Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa yeyote iwapo tutakubaliana masharti. 1. Kiwango kinachohitajika ni10m. 2. Dhamana ni nyumba, ipo jijini Mwanza. 3. Muda wa urejeshaji uwe ni miezi 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
-Name: Lenovo -Operating System: Android -1 SimCard -WLAN: 802.11 -Front Camera: YES -Back Camera:NO -Ram: 1.2 Ghz Price: 350,000/- ( negotiable ) Serious buyer check me +255 783 181838. Also you...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamnii naomba msaada wapi naweza pata masoko ya kuuza mzao nje ya tanzania yakiwa yamepakiwa vizuri tayari
0 Reactions
0 Replies
904 Views
tunauza blog website special kwa ajili ya news,stories na mengineyo.website inaitwa walimwengu.com..kama unavoona jina la website linapendeza na kuvutia website ina muonekano mzuri kwenye desktop...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nisaidieni kitu kimoja..... limenijia tu hili wazo ghafla tu kichwani.... nataka kununua machine kubwa ya kukata viazi na kutengeneza chips, then,nisambaza kny ma-bar ready kukaanga...sehemu km...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wauzaji wa reja reja wa memory cards na usb flash disk,pata mzigo wa memory card kwa bei ya jumla,2GB memory card sh 6700/= kwa memory card 1,kiwango cha chini ni memory card 5. Hata we...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
tunauza blog website special kwa ajili ya news,stories na mengineyo.website inaitwa walimwengu.com..kama unavoona jina la website linapendeza na kuvutia website ina muonekano mzuri kwenye desktop...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
habari za Leo wajasiriamali wenzangu,kwa yeyote aliye na line ya Tigopesa anaiuza anitafute kwa no.0715226198..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msp cleaning company mspc ni kampuni inayojihusisha na masuala ya usafi wa maeneo mbali mbali pamoja na kuuza dawa hivyo basi, wanahitajika watu...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
habari zeu wakuu...mimi ninaomba mnisaidie mawazo na uzoefu weny katika hili. ninataka kuanzisha biashara ta maji ya makopo (kama dasani au kilimanjaro,uhai n.k) lakini lengo langu ni kwa mikoa ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu nilikuwa nauliza km Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara?
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Hazina Capital tunapenda kujitambulisha/kuwatangazia Watanzania juu ya soko jipya la biashara litakalojumuisha wafanyabiashara wa bidhaa za aina mbalimbali kutoka Kariakoo na kuwapa nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We have excellent containers 20ft and 40ft available for sale in Dar and Arusha at reasonable rates. Transport can be arranged to any part of Tanzania at good prices as well. Kindly send a...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Heshima kwenu wakuu, ninalo dume la batamzinga limevimba nundu karibu na jicho kwa wenye uzoefu hili ni tatizo gani? Na dawa yake ni ipi? Nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kufahamu mbinu bora za kilimo cha vitunguu maji
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nafuga kuku wa mayai na wana miezi miwili sasa, tatizo limekuja kwamba wanaanza kupoteza mawasiliano baina ya viungo vyao!! Shingo inapinda na miguu inalegea yaani kiujumla...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninategemea hivi karibuni nianze kufanya kilimo cha tikiti maji hapo Mlandizi ecari 15. Kwa ajili ya ugeni wangu kwenye hii biashara nilikua nataka ushauri wa soko na ikibidi hata kupata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada Nimeona kinyesi cha kuku kwenye banda langu la kuku kinyesi chenye kama vile alama ya damu, sijui ni ugonjwa ama ni just lishe
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za jioni ndugu......jamani nataka nianze biashara ya kununua mayai kwa wafugaji na kudzu,tafadhali kwa yoyote mwenye idea tuwasiliane na kwale wakulima pia tafadhali to was I liase no...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…