Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nauza majogoo yako ishirini tu aina ya LIGHT SUSSEX yana umri wa miezi saba yana afya njema. Sababu ya kuyauza ni kwamba ninayo 40 nataka nibaki na 20 tu. bei ni elfu 20 kwa jogoo mmoja...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Napenda tena kuwataarifu wa jf kuwa me ninauza mchele kwa bei ya jumla na rejareja na pia napokea order kwa mazao mbalimbali ndan na nje ya nchi popote ulipo kwa mawasiliano unaweza nitafuta kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa maelezo zaidi 0758 308193
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nataka kuanza biashara ya utotoleshaji wa vifaranga chotara na kienyeji, napenda kufahamu kwa wazoefu wa biashara hii. Huwa mnawalipisha shilingi kwa yai 1 na taratibu zingine.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaada wa jindi ya kutembelea Shehnzen, P.R.China. Visa napataje na jindi ya kusafiri na kama kuna ajuaye hoteli bei nafuu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hicho chpmbo aina ya DAU kinauzwa, zaidi inbox kupata maelezo zaid.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmeamkaje ndg zangu wanajamvi, mi ni mkazi wa mjini Mtwara kuna kazi nimepata ya kusupply chakula mahali fulani na mtaji wangu nilionao nao ni sh.milioni 2 wakati unaohitajika ni 8 milioni hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu Legacy Impresion Company ujipatie logo ( nembo) kwa bei nafuu kabisa na haraka, kuna nembo ambazo tayari zimesha dizainiwa za aina tofauti tofauti, kulingana na tofauti za biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na Mkanganyiko wa matumizi pia ya hivi vitu viwili Branding na Marketing ( Masoko) na imekuwa ni tatizo kugundulika ipi inayotakiwa ianze kati na ipi ni kubwa zaidi ya mwenzake . kwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajamii nataman nifanye biashara itayoweza niingizia kipato kidogo mbal na mshahara bt nafikiria cpat jibu. Nisaidien kwa hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wanajamvi!, Natafuta kampuni ya kununua ya freight forwarding and clearing,Nahitaji kuinunua nikiwa kama dalali. Ningependa kujua taarifa kama zifuatazo:- Ina patikana wapi? Ina muda gani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau bei ya TVS ikoje?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hkwa wale wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, waandishi wa vitabu, hadithi. Na wengine wote huduma hii inapatikana kwa bei nzuri kabisa 400 @ page tunapatikana dar es salaam piga simu muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka kujiunga na Forever Living products niwe nauza bidhaa zao za alovera kama nyia ya kuongeza kipato changu.wenye uzoefu naombeni ushauri au wale mliojiunga na mko mpaka sasa au mliojitoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari njema kwa wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, waandishi wa vitabu, hadithi. Na wengine wote huduma hii inapatikana kwa bei nzuri kabisa 400 @ page tunapatikana dar es salaam piga simu...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Habari!! jamani, mimi ni Dereva leseni D, kwa sasa naishi Kigambon Dar es salaam nilikuwa naomba kwa mwenye au anayeuza gari ndogo aina yoyote inayofaa kwa anayeuza kwa ajili ya shughuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada dawa ya kuondoa harufu mbaya kwenye banda la mifugo kwani kila cku tunalifanyia usafi ila bado linatoa harufu hasa msimu wa mvua,hii harufu imekua ikiwa ni kero kwa majiran na nyumban kwetu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu nina kuku wa kienyeji wa kisukuma kutoka kirengezi na kongwa morogoro. ni wakubwa sana. napatikana sinza mori, ntakuletea mahali ulipo kwa dar. Pia napokea oda ya mayai ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF mimi naishi mkoani Dodoma nimejiingiza katika biashara ya ufugaji kuku wa nyama. Shida yangu natafuta vifaranga wa kuku wa nyama wa kununua kwani nimekuwa nikiagiza kwa wafanya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wasiliana na 0715816196
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…