Heshima zenu wakuu,
Naomba kumtembelea Mjasiliamali yeyote anaefuga kuku kwa Hapa Dar, Kikubwa ni kupata uzoefu kidogo hasa kwenye mapangilio wa Banda na vitu vingine. Kwa yeyote alietayari...
HAY WANAJAMVI WENZANGU
Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya...
Biashara haiangalii unaamini kupitia nini, biashara haiangalii wewe ni mkristo,mpagani muislamu au mhindu,lakini kuna imani ambazo biashara inakutengenezea na inataka ufanikiwe kupitia hizo...
Rafiki yangu na msomaji mzuri wa AMKA MTANZANIA bwana Jiduma Luhende kitambo kidogo alinitumia kitabu hiki kinachoitwa Why Youre Dumb, Sick And Broke kilichoandikwa na Randy Gage.
Baada ya...
Mambo zenu wanajamvi. Leo nimeona niongelee kuhusu kilimo na mchango wake katika kuongeza ajira kwa vijana wengi japa nchini. Katika vyombo vya habari kumekuwa na watu wengi wakiwa wanafanya...
Ndo nimemaliza chuo this year. Ajira hazipo na kama zpo hazitatimiza ndoto zangu za kwenda brazil kucheki world cup! Chumba kitupu kipo hapa home ndo nataka iwe ofice yangu! Nitaomba kwa family 2...
10 Reasons Why You Will Never Become Rich
1) You spend too much
2) You do not save enough
3) You have to much debit
4) You put all your eggs in one basket
5) You do not have insurance
6) You do...
Wakuu ninaomba ushauri wa nini hasa napaswa kukifanya ili mradi wangu uwe na tija na ufanisi ili kupata matokeo ninayoyatarajia.
Iko hivi:
Baada ya kuchunguza hali halisi ya ajira kwa vijana...
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.
Msaada please.
Mie nipo wilaya ya Ruangwa mkuoa wa lindi, nina mawazo mawili ya biashara ambayo ni;
1. bookshop
2. studio ya picha na video shooting
Naomba msaada kwa wenye idea au uzoefu kati ya wazo moja hapo...
Naanza kwa salutation kwa wote, ninaanzisha biashara ya dagaa wakavu wakubwa wasafi, ninaanza na gunia 10.
Nipo Musoma mjini naomba mnijuze masoko ya bidhaa hii na kwa alie tayari kunitaarifu...
Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha
Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi
Ujitambue mwenyewe ambapo elimu hiyo ni...
wakuu heshima kwenu. natafuta fremu dar isiyozidi shilingi 100000 kwa mwezi. iwe karibu na shule zaidi ya moja. kama ipo karibu na shule moja tutaelewana. aliye tayari ani pm. tusaidiane wajasiliamali
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka...
Hallo wana JF
Habari za mchana poleni sana na majukumu ya siku nzima
Mimi ni kijna nina mkakati wa kufungua shule ya english medium huko jijini mwanza .
Nko katika maandalizi ya awali kabisa ya...
habari wanajamvini,
nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya kuuza vitenge.
Nimesikia fununu kuwaTunduma /Mwanza mpakani na ........./Congo ndo maarufu wa uuzaji wa vitenge kwa bei nafuu. je kuna...
Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala mkubwa ikiwa mjasiriamali anazaliwa au anatengenezwa. Kwa kuangalia tabia za wajasiriamali na tabia za binadamu kwa ujumla, wajasiriamali wana tabia za...
Habari wana Jukwaa,
Kama kichwa kinavyoeleza, nafikiria kufungua biashara husika ila kabla ya kufungua nimeona nilete uzi jukwaani ili nipate maelekezo kutoka kwa watu wenye uzoefu na biashara...