Hello jf mabibi na mabwana natumai ni wazima wa afya baada ya wikiendi.
Ndugu mwanajamii baada ya kuomba ushauri hapa jukwaaa la ujasiriamali, nimeamua kwa ridhaa yangu kuwa mfugaji wa kuku wa...
Ndugu wana JF mimi ni mtumishi wa umma nimehamishiwa kikazi katika eneo lenye miinuko mikali sana , nimekuta wananchi wa huku wanalima mpunga wa kwenye miinuko (Hill Rice) . Changamoto kubwa...
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
Mimi mjasiliamali na zaid nimewekeza katika kilimo cha mpunga na chai... Kwahyo natafuta soko la mchele pia napokea oda tofauti za mazao.... kwa jumla na rejareja....
Kila mmoja wetu ana mawazo mazuri sana ya jinsi ya kuboresha maisha yake. Inawezekana kabisa unajua maisha unayoishi hayawezi kukuletea mafanikio. Hivyo umeshapanga kwenye kichwa chako mipango...
Habari Za Mchana Wana Jamvi, Nina Shamba Langu La Hekari 2 Kule VIGWAZA, Nataka Nilime, Nilimuuliza Mtu Nini Kizuri Cha Kulima Kule Akaniambia Ardhi Yake Ni Nzuri Kwa Kwa Kulima Mihogo Na Mahindi...
Mara nyingi tumekuwa tunaendesha maisha yetu kwa kuangalia watu wengine wanaendesha vipi maisha yao, kitu ambacho si sahihi kabisa, Katika maisha unatakiwa kuwa tofauti nawenzako, unatakiwa...
Habarini za asubuhi members wa jf......napenda kutumia nafasi hii kuwajulisha juu ya apartment zetu zilizo maeneo ya upanga na kariakoo, apartment hizi ni kwaajili yakuuza tu zipo za vyumba...
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.
Msaada please.
Habar zenu wapendwa
Samahani kwa wale wanaotumia machine ku print vitu kama tsht vikombe na vingine ... samahan naomba kujua bei ya tranferpaper na wapi naweza kupata
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then...
Habari wakuu
Nimeuona uzi hapa jukwaani unaozungumzia biashara ya juisi na matunda kwa ujumla nikaona si vibaya ku-share idea yangu ambayo nimeiona kwa muda mrefu ila imekosa ubunifu mzuri.
Kwa...
Asilimia kubwa ya watu hutengeneza nembo(logo) kwa sababu tu wanahitaji biashara yao ionekane inanembo lakini umuhimu wake hawaujui.
Nembo ni alama maalum ya kwako peke yako inayokutambulisha...
kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji..
Tafadhali naomba ushauri wenu.. ndio naanza kufuga kuku hawa, nimeagiza wa kuanzia kutoka mkoani.. (Niko dar kuku nawachukua Rombo - kilimanjaro).
Naweza...
Habari za kazi wakuu.
Ninaomba msaada, hivi karibuni nimeanzisha mradi wa kuku wa mayai, wapo kidogo tu kama 400 hivi kwa majaribio. Wana miezi miwili sasa, nilichobaini ni kwamba chakula chao ni...
Heshima zenu wakuu,
Naomba kumtembelea Mjasiliamali yeyote anaefuga kuku kwa Hapa Dar, Kikubwa ni kupata uzoefu kidogo hasa kwenye mapangilio wa Banda na vitu vingine. Kwa yeyote alietayari...