Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wakuu, Mimi ni member kwenye group moja huko Facebook. Members wanajadili sana mambo ya ujenzi mpaka wamefikia level za kuonana na kufanya vikao kujadili mambo mbalimbali. Hao wadau...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Good day wandugu, nahitaji kujua wasambazaji wa matrekta ya New Holland wanaopatikana hapa Dar es salaam. Thanks.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys nina plan la kufanya research kuhusu Greenhouse farming......ninaishi Dar na ningependa kufanya research na kupata mawaidha mawili matatu hata kwenda kuangalia angalia baadhi ya sehemu hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau? Jaman mie nauliza kama Ruaha panafaa kwa kilimo cha mbogamboga kama nyanya, vitunguu hoho na kadhalika. Nimepata shamba kijiji kimoja kinaitwa msolwa. Ni mbele ya hifadhi ya Mikumi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau nipo kongwa dodoma nataka nifanye kilimo cha mahindi mabichi kipindi naona mwenye kujua bei soko kwa hindi moja anijuze
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Natafuta kijana au msichana mwenye ujuzi wa kutumia cherehani, kijana awe muwajibikaji mwenye kiu ya mafanikio ya muda mrefu. Tafadhali wasiliana na mimi PM kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar,nilikuwa napenda ushaur wenu wa kina juu ya uanzilishi wa biashara ya kawaida ya uzalisha wa mtaji wa 50-60m nijiusishe na biashara yenye chachu na tija la kimaendeleo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu,nipeni mwongozo ninamashine ya kusaga na kukoboa napia nafuga nguruwe had sasa wapo 18,nifanyeje ili nipate mkopo bank kwni lengo ni kuongeza had wafike 250 kufikia mwisho wa mwaka...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Samahani ndugu zangu naomba mnisaidie aina kuu za ujasiriamali. ni muhim nizifahamu kabla sijaanza biashara.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ninayo dawa/chanjo ya kienyeji kwa ajili ya kuku. Kamwe hatokaa apatwe na maradhi hasa zaidi kideri. 0682556938. Asante
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mwenye majogoo ama taarifa yoyote ntakapoweza pata majogoo aina ya white leghorn tujulishane tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa kifupi sana naandika, amka mkulima, mshikane nchi nzima, mkatae kuuza mazao kwa madalali, mpange bei zenu wenyewe, tuwe na centre za kuuzia mazao yetu kikanda. tulime kwa kalenda, wanunuzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji vifungashio vya kuweka bidhaa za unga unga kama mdalasini zenye ujazo wa gramu mia.pamoja na mifuniko yake nikifunga ziwe sield.,pia mnaweza nielekeza wapi vifungashio vinapatikana
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nilitaka kujua kampuni gani ya chakula cha mifugo hususani kuku kwa sasa kina soko zaidi. Nimesikia kampuni za Hill, Falcon, n.k. Naweza pata mawasiliano yoyote?
0 Reactions
1 Replies
9K Views
heshima kwenu wadau kama heading inavyojieleza,nahitaji kufanya ujasiliamili huo tajwa. anaejua kuhusu mahitaji,hatua na taratibu za kufuata atuelimishe ili tuanze kujiajiri mapema maana huu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Salaam kwa Wote humu! Nahitaji kujifunza Ufugaji Bora wa Kuku na mifugo mengne kwa kuona jinsi wengne walivyotengeneza Mazingira mazr na Jinsi wanavyofanya au kuendesha ufugaji vzr. Msaada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu mitaani, nimegundua kuwa kuna uhitaji mkubwa kwa bidhaa ndogo ndogo kama Ice cream, koni, bisi, bites, vinywaji baridi etc etc. Kutokana na hilo, ninataka kama itawezekana...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Wajumbe, naomba anaeifahamu wilaya hii kwa undani anisaidie in terms of ufugaji na kilimo... Maeneo ya pembezoni mwa mji. Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu wataalam wa biashara kuhusu upangaji wa bei za bidhaa na huduma. Mimi ninataka kufanya biashara ambayo inahusiana nambo ya IT. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu au...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Wadau nilnatafuta soko la uyoga Nimelima kilo 300 but kilo 100 zimeshapat mteja bado kilo 200 naomben Msaada wenu!!!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…