Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu! Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau Heshima kwenu, Nina kisima chenye urefu wa ft 56 na kina maji mengi tu ya kutosha kwa matumizi yangu na hata kuwa na ziada.Kisima kimechimbwa mwaka 1999 mwishoni (November). Tangu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa maitaji yako ya vifaranga na mayai ya kware pamoja na kuku wa kienyeji tafadhali tuwasiliane, nipo Kirumba Wilaya ya Ilemela Mwanza. No. 0753460642
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu zangu wanaJF Nina shamba langu nimejiandaa kwa kilimo biashara nimeishakusanya vifaa vyote vya kilimo Shamba langu lina ukubwa wa ekari 4 nimeishapata drip irrigation za kutosha na vitu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Anae jua hesabu ya tax Dar es salaam kwa siku au kwa week anijuze tafadhali na cost zinazohitajika
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wapendwa.nimepata changamoto kubwa sana na nimejawa imani kubwa sana baada ya kusoma kitabu hiki, nakuomba nawe ukisome kwa utaratibu mzuri bila haraka, soma kwa kutafakari uhalisi wa mambo kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta waya wa umeme wa Accer laptop kama unayo tafadhali nitaarifu. shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa kila jitu kuhusu ukulima wa carrot
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zanguni wana JF Kwa yeyote mwenye biashara ya mbao na anaiuza, mimi nanunua biashara hiyo na kuiendeleza, naomba nieleweke kwa wana JF kuwa sihitajimbao bali nahitaji biashara hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je hizi biashara za mitangao kama za kujiunga kwa kiasi flani na kuuza bidhaa zao ni nzuri na nipate mfano wa watu wanaofanya nitashukuru Asanteh
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kujenga taifa letu,nina mtaji wa million 5 hapa nisaidie nifanyie nini wakuu,nasubiri kutoka kwenu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu na wadau wa safu hii Nahitaji kujua na kujifunza kushona viatu vya kitamaduni yaani vinavyotumia material ya malighafi zetu kama vile vitenge, nguo za kimasai nataka kujifunza namna...
2 Reactions
8 Replies
14K Views
Nauza Mayai ya Kware kwa bei nafuu: Tray moja lenye mayai 30 ni Tshs 14,000/= Namba ya simu: 0688 292007.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
I'm in dar for holiday visiting family and ave got tied of sitting g home doing nothing, so if you deal with poultry, rabbit and or vegetable farming and you are within dar , well I may be of...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Habari wana Jamii, Ninamshukuru sana Mungu kwa kunijaalia kuiona tena siku mpya. Watu wengi wanapopatwa na matatizo ya kifedha, jambo la kwanza hufikiria ni kwasababu wanapata mishahara midogo...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni kija wa kiume, nipo Dareslam Msasani nimepewa mtaji wa milioni 5 ni familia niizungushe kwa masharti niwe natoa laki moja kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazee wawili ilikuwasaidia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji sasaivi wamefika mia na hamsini tatizo wanataga sehemu moja wnalalia sehemoja wa tatu kila siku wanachanganya mayai matokeo yake wanayaharibu tu msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TABIA 4 ZA WATU WALIOFANIKIWA KATIKA UMRI MDOGO 1. Zifuate nafasi za kufanikiwa zilipo, usikae ukisubiri zikufuate. Kama kilimo cha vitunguu ni Mbeya, wewe Dar hapakufai, nenda uone mambo...
11 Reactions
22 Replies
24K Views
habari wanajumuiya, ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi? natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…