Ninapanga kuanzisha mradi wa mifugo (kuku wa kienyeji, mbuzi, nk.) kwenye shamba la ukubwa wa ekari 7 lililopo wilaya ya Bahi Dodoma. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa uchambuzi yakinifu wa mradi...
Habari zenu wana JF,
Nimerudi tena kuomba ushauri wenu kwa sababu palipo na wengi hapaharibiki jambo.
Leo naomba waliowataalam wa ufugaji hasa ng'ombe wa kienyeji waniambi je, unalipa. Mimi kama...
Leo nimetembelea shambani kwangu nimekuta baadhi ya miche ya mahindi ina hali hii,kwa wataalam naombeni mnijuze hali hii ya kutoboka majani inasababishwa na nini na nichukue hatua gani za haraka...
As Salaam alaykum
Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.
Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.
Kwa...
Habari wadau!
Ninatatizo kubwa sana katika hizi harakati za kujikwamua kiuchumi, mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa wa mayai (Layers) tangu waanze kutaga huu ni mwezi wa 4 sasa, lakini utagaji...
UNAPOAMUA KUANZA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA, ZINGATIA VIGEZO VIFUATAVYO KATIKA KUCHAGUA NG'OMBE BORA ATAKAYEKUPA FAIDA KUBWA
1. UMBO : siku zote ngo'mbe wa maziwaQQ anatakiwa awe na umbo la...
Niaje wakuu.
Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa...
Ninafuga Ng'ombe tunaowaita wa kisasa. Nina mpango wa kuwajengea banda la kupumzikia tu na sehemu yao ya kulia majani iwe sehemu ingine japo ni extension tu naomba ushauri sifa za banda liweje?
Usha sikia bata wa nyama ba mayai? Hapa nazungumzia aina mbili za Bata.
1. Pekin au American Duck
2. Khaki Campbell
Hawa pekin ni Broiler bata yaani ni sawa na kuku brouler kwa sababu wana mature...
Wakuu habarini za wakati, wanaboard.
Moja kwa moja nijikite kwenye mada. Nimefuga kuku kwa miaka takribani 6 sasa. Nimefuga kuku wa mayai (layers) na kuku wa nyama (broilers). Katika ufugaji...
Habari wandugu.
Nasikia kwamba katika kuhamasisha kilimo bongo, wakati wa kuingiza vifaa vya killimo nchini hulipii kodi bandarini. Hii pia iko kwenye vifaa vya madini? mfano wash plants n.k
Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo...
Habari wapedwa,
Nina nguruwe wangu wa 4 jike 1 dume 1 waliohasiwa 2. Majuzi nilikoboa mahindi ya mchanganyiko wa yaliyooza na mazima sababu nkishidwa kuyachambua kutokana na wingi
Baada ya...
Habari Wakuu!
Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji msaada kwa mwenye uzoefu au details za jinsi ya kuimport tractor (s) kutoka UK kuja Tanzania.
Wanajamvi, Salaam!
Nina ng'ombe wangu amejaa sana gesi tumboni yaani tumbo limetuna vibaya mno leo ni siku ya nne.
Msaada wenu wataalamu na wazoefu wa mifugo. Shida hiyo husababishwa na nini? Ni...
Wasalaam wakuu
Kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya mazao ya kilimo na kilimo chenyewe mtakubaliana na hoja yangu hapo juu. Mkulima na mnunuzi wamekuwa wahanga kwa Bei za mazao sababu tuu...
Wandugu, habari zenu. Ni hivi mimi nataka kuwekeza kwenye lilimo cha ufuta kwenye maeneo ya rufiji. Naomba mwenye ujuzi wa kilimo hicho cha ufuta anipe ushauri juu ya hili.