Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Ni baada baada ya Waziri wa Afya, Dkt. Jane Ruth Aceng kutangaza kuwa Serikali inawatafuta watu zaidi ya 300 wanaodhaniwa kuwa na Ebola ambao wengi wao wao wako jijini Kampala na wilaya ya karibu...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni. Waziri Kadaga amesema...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mtoto wa Rais Museven wa Uganda yupo ziarani nchini Rwanda Amepewa zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo baada ya kutembelea shamba la Rais Paul Kagame
5 Reactions
72 Replies
10K Views
Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita. Usambaaji wa kasi wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi Akijibu mahojiano...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58 Katika...
1 Reactions
0 Replies
959 Views
East Africa News Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme ======= Summary The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires. The supposed wealth...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museven Rais wa Uganda Yoweri Museveni ,ametangaza amri ya kutotoka nje ya wiki tatu, kwa wilaya mbili za Mubende na Kasanda, ili kuzuia maambuzi ya ugonjwa wa...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) umekatisha maisha ya mhudumu mwingine wa afya wakati nchi ikipambana kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo, Wizara ya Afya imeripoti. Dkt Jane Ruth Aceng, Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzee amechoka kujieleza, ametoa kauli asiyeridhishwa aje ampige, sio kuongea ongea huko... njooni mnipige...ha ha ha!!
3 Reactions
3 Replies
731 Views
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo. Uganda inakabiliwa na...
1 Reactions
1 Replies
855 Views
Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph...
1 Reactions
3 Replies
813 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…