Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Mzee amechoka kujieleza, ametoa kauli asiyeridhishwa aje ampige, sio kuongea ongea huko... njooni mnipige...ha ha ha!!
3 Reactions
3 Replies
731 Views
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hatua hiyo inafuatia ufanisi hafifu wa chanjo zilizotumika awali kushindwa kufanya kazi kama ilivyotarajiwa kutokana na kutofautiana na aina Kirusi kilichopo nchini humo. Uganda inakabiliwa na...
1 Reactions
1 Replies
855 Views
Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mtoto wake Muhoozi Kainerugaba, kutoka kwenye cheo cha Luteni Jenerali hadi kuwa Jenerali. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Jenerali Kainerugaba...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa hakuna atakayezuia mradi mkubwa wa bomba la mafuta Afrika mashariki, akipuuza azimio la wabunge wa Ulaya lililotaka mradi huo ucheleweshwe kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph...
1 Reactions
3 Replies
813 Views
Hello guy while I have resumed a plan to trip to Uganda in December this Year, Kindly share with me All you know about this country for a foreigner who is about to Visit, my purpose for that trip...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wizara ya Afya ya Uganda imesema takwimu hizo ni hadi kufikia Jumapili Septemba 25, 2022. Kwa waliofariki, wanne wamethibitika kuwa na maambukizi wakati 17 walionekana kuwa na dalili za virusi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The launch of Uganda’s first-ever satellite, PearlAfricaSat-1, has been postponed to October 28 because of bad weather. The launch, which is supposed to be accomplished by America’s National...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Makamu wa Rais, Maj Jessica Alupo, Waziri wa Mambo ya Ndani Meja Jenerali Kahinda Otafiire, na Waziri wa Ulinzi Vincent Ssempijja ni miongoni mwa viongozi wa Uganda ambao wametia saini barua ya...
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema hakuna haja ya kuweka vikwazo ikiwemo marufuku ya kutotoka nje katika maeneo yenye mlipuko wa #Ebola kwa sababu Ugonjwa huo unaosababishwa na Virusi...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Ofisi ya Shirika la Afya Duniani Kusini mwa Jangwa la Sahara imesema mlipuko wa #Ebola unaoendelea nchini Uganda uligunduliwa kwa kuchelewa baada ya Uchunguzi wa awali kuonesha kuwa dalili...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Idadi hiyo ni ndani ya wiki moja tangu mlipuko utangazwe eneo la Mubende na kusambaa Kyegegwa na Kassanda wakati idadi ya wanaodaiwa kuwa na maambukizi ni 36. Aidh, Rais wa Jumuiya ya Madaktari...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Brave Ugandan Teen Tricks Western Leaders with Question that Prove they are All Liars Ugandan climate activist Vanessa Nakate has confronted rich countries over their refusal to provide finance...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Wahudumu wa Afya walio katika Mafunzo ya Kwa Vitendo (Interns) wakiwemo Madaktari, Wauguzi na Wafamasia wanaokabiliana na Ebola katika Hospitali ya Mubende wametangaza mgomo kupinga Ufinyu wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…